mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,477
- 1,725
Juzi Makamba amesema tanesco wanakusanya tilioni mbili, hizo zote zinaenda Wapi,kama si kulipa madeni na uendashaji wa shirika?Kuna madeni mengi na bado ina endelea kukopa!!..Unajua Nani ana fanya services za mitambo?!..Je Magari Yao?;!!... Services za line na stations?!!..Huo Umeme nao!!!..kuna mambo mengi hamjui lakini mnabisha tu!!!..Tuna nunua Umeme,Tuna kodisha Magari,Tuna leta watu kutoka nnje kufanya services za mitambo na kutengeneza!!..Hivi bado twendelee kupigwa tu