Tunaposikia ya Makamba na Zitto kutaka kubinafsisha TANESCO, tukumbuke yaliyofanyika TTCL

Tunaposikia ya Makamba na Zitto kutaka kubinafsisha TANESCO, tukumbuke yaliyofanyika TTCL

Kuna madeni mengi na bado ina endelea kukopa!!..Unajua Nani ana fanya services za mitambo?!..Je Magari Yao?;!!... Services za line na stations?!!..Huo Umeme nao!!!..kuna mambo mengi hamjui lakini mnabisha tu!!!..Tuna nunua Umeme,Tuna kodisha Magari,Tuna leta watu kutoka nnje kufanya services za mitambo na kutengeneza!!..Hivi bado twendelee kupigwa tu
Juzi Makamba amesema tanesco wanakusanya tilioni mbili, hizo zote zinaenda Wapi,kama si kulipa madeni na uendashaji wa shirika?
 
Du kazi kweli kweli, haya mawazo ya kijamaa ndio yanayoturudisha nyuma. Mashirika mengi ya umma yalikufa haya kama TANESCO yameendelea kuwepo kwasababu tu yanapatiwa ruzuku serikalini ambayo ni kodi za wananchi tunalipia uzembe wote na wizi wote katika shirika hili...
Wewe ni Koro kabisa kama jina lako. Mbona haya hatukuyasikia wakati JPM hizi nyimbo ziliimbwa kipindi cha JK wakati ufisadi kwenye Nishati umetamalaki. Leo baada ya mwamba kuondoka, mmerudi tena na swaga zenu za upigaji.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni Koro kabisa kama jina lako. Mbona haya hatukuyasikia wakati JPM hizi nyimbo ziliimbwa kipindi cha JK wakati ufisadi kwenye Nishati umetamalaki. Leo baada ya mwamba kuondoka, mmerudi tena na swaga zenu za upigaji.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Nyerere alishangaa kwanini tumewapa Sekta binafsi TBL,NBC,NMB na SIGARA alipinga wazi wazi na hata hoja zake ukizichukulia Kwa wepesi ungekataa lakini alisema huwezi kuwapa watu (secta binafsi) vyanzo vikubwa vya mapato serikalini!!..Leo umeona TBL, NBC,NMB,na SIGARA wanavyofanya vyema!!..Je tungekubali tusiwape Sekta binafsi ingekuaje?
 
Kaka kwani ukisema Magufuli alidhibiti haya utapungukiwa nn? Kila kitu ulichoandika ni sawa kabisa. Shida yako ipo kwenye kukubali kwamba magufuli alifanya kazi ya ziada kwenye nchi hii. TANESCO ilikua imetulia kabisa kipindi cha JPM na shida ya mgao wa umeme tuliisahau. Why now?

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
JPM alichoweza ni kuwapa Marafiki zake cake ya Taifa!!..
 
Aliwadhibiti wapigaji wa Pwani, akawafungulia mlango sukuma gang wenzake watupige.
a kwani ukisema Magufuli alidhibiti haya utapungukiwa nn? Kila kitu ulichoandika ni sawa kabisa. Shida yako ipo kwenye kukubali kwamba magufuli alifanya kazi ya ziada kwenye nchi hii. TANESCO ilikua imetulia kabisa kipindi cha JPM na shida ya mgao wa umeme tuliisahau. Why now?

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Shida kubwa ni kwenye kubinafsisha huku na negotiations za watu wetu unaweza kuliangamiza Taifa. Ubinafsi na uchu wa kijitajirisha ndio tatizo kubwa kwa nchini nyingi za Kiafrica. Mikataba sio ya wazi na hata mingine hazipelekwi Bungeni. Au zinapelekwa je Wabunge wapo keen enough? Shida sio ubinasfishaji ni jinsi ya kuingia mikataba yenye manufaa kwa WaTZ.
Hahahahah kwenye % hapo ndipo tutapopigwa!

Jamaa ataambiwa tutailipa serikali gawio la 45% kila mwaka, ila ukikubali ku sign mkataba tuwalipe kwa 15% basi wewe tutakuingizia 5% yako pembeni ila kama hutapenda hii pia ni sawa.

Hivi kwa akili za mmbongo kwa jinsi tunavyopenda maisha ya ufahari nani atakatalia 5% hio kila mwaka? Ukiangalia mzigo ambao unaweza kuwa unaingia kwenye account yako personal ni almost 10B kila mwaka ya bure tu. Anasaini tu manina mkataba wa kuumiza nchi ili yeye ale na familia yake! Akishazeeka anapambana ampenyeze mwanaye nae mwishowe nchi inakuwa ya ki chifu huku wengine tukiendelea kulalamika tu!
 
Back
Top Bottom