Tunaposikia ya Makamba na Zitto kutaka kubinafsisha TANESCO, tukumbuke yaliyofanyika TTCL

Kama Tanesco wananunua Umeme Kwa watu binafsi unaonaje hapo?!;..Je serikali inauza umeme ghali au sekta binafsi
Kwa sasa Tanesco ni ushirika la umma ni kama inatoa huduma japo lina muhimu kujiendesha kibishara,ikifikia wakati likaondolewa kama huduma na kuweka biashara zaidi hapo ndipo bei zake zitakua kama petrol kwa maana wafanyabishara wanachojali ni faida sio huduma.
 
Wenye akili watakuelewa,lakini madalali wa Mafisadi watapinga
Sio kila mtu anayetaka Tanesco iuzwe ni fisadi, ukweli umeme hakuna na uliopo ni bei mbaya sana, labda ungekuwa na biashara au kiwanda ukashindwa kufanya production kwa ajiri ya umeme unaokatika katika na ukaona bill ya Tanesco inavyoua biashara kwa gharama zisizolipika labda ungeweza kunielewa
 
more than 50 years with 100% monopoly lakini hakuna chochote zaidi ya TANESCO kuendelea kuwaweka watu gizani ,kuua business za watu kwa umeme usiotosha unaokatika ovyo kila siku, na bei mbaya zisizolipika, ungekuwa na biashara au kiwanda ungeelewa jinsi hao wapuuzi wa TANESCO wanavyofanya uzalishaji kuwa close to impossible kwa ajiri ya bills zao, mnachojua ni excuse excuse excuse na visababu chungu nzima kila siku badilikeni na mjaribu kuona ukweli
 
KKw
Kwani kipindi tanesco,wananunua umeme kwa akina IPTl na SongaS,AgreCo,tulipata unafuu upi?kama si kupandisha garama za umeme kila siku?
 
Tatizo sio Dowans or Symbion, walaumu wala rushwa incompetent officers wa TANESCO na serikali walioshiriki kutayarisha hiyo mikataba na kuisimamia, and FYI hao maofisa bado wapo wamejaa na ndio wanaendesha TANESCO, endelea kutetea system
 
KKw

Kwani kipindi tanesco,wananunua umeme kwa akina IPTl na SongaS,AgreCo,tulipata unafuu upi?kama si kupandisha garama za umeme kila siku?
Kwa mtu yeyote mwenye akili anajua ile mikataba ilikuwa imejaa rushwa tupu na ulaji wa watu, TANESCO na maofisa wa serikali ndio waliotayarisha hiyo mikataba na kuisimamia lakini bado mnawaona ndio wanaweza kuliko private sector, na kwa taarifa yako ingekuwa ni private sector huo upuuzi usingefanyika
 
Lakini si umesikia juzi CRDB wamezidi kupaa? Hao ndiyo wachagga bwashee,kimei ameondoka bado anaidai serikali,na crdb inadunda.
Mkuu kwanza hiyo crdb imetoka wapi na ni kina nani walisababisha kutoka pale ilipokuwa mpaka kufika hapo?.

👉🏾 Haya mambo kama mtu hajui mmh!, But akikaa kimya ataonekana mwenye busara kuu!.
 

Hakika wewe ni mpumbavu Wa mwisho.
 
Nchi hii watu wanajitengenezea mazingira ya kufaidi keki ya taifa wao na watoto wao, mimi sidhani mtu kama Magufuri na ubausa wake ule leo angeelezwa eti 20per iuzwe for what?.

Ndiyo alikuwa mbabe lakini kwa mambo ya kipuuzi kama hizi mambo zinazoanza kunyunyiziwa asali ili nyuki waje sioni afya huko mbele.

Nakumbuka kina mzee Sumaye na ndg zake kipindi kile alianza kama Makamba hivi leo, alipopanga mkakati wa kuiuza crdb, huko uvunguni akaandaa mamilioni ya shilingi ili anunue HISA, leo wanaofahamu kuhusu crdb na Sumaye wanakaa kimya.

Nina uhakika mashirika yote ya umma yaliyosalio yatauzwa tu japo kwa taratibu wakiwa na hofu ila watavaa sura ya mbuzi.

Mtu imara ambaye angeweza kuifikisha hii nchi japo tukiwa tumechoka kiafya ni Legendary Pombe.

👉🏾 Lakini kwenye kufikia maendeleo lazima watakao umia na kupata maumivu wawepo.
 


Zitto na Makamba ni rika langu nawapongeza kwa mawazo mapya lakini sikubaliani nao kwenye hili. Hili ndilo tatizo la kufanya kazi miaka mingi kwenye siasa bila kujua biashara zinaendaje na kujaribu kufanya maamuzi bila kuwa na uzoefu wa biashara.

1. Huwezi kufanya ubinafishaji wa aina yeyote bila kujua hilo deni limetokana na nini. Je wanavyosema tuuze hisa ili tulipe madeni hayo madeni yametoka wapi?
2. Kulipa madeni hakutamaliza matatizo ya sasa hivi mfano kama pesa mpya Tanesco itapeleka kwenye madeni pekee maana yake ni kwamba watakuwa na wadai wapya lakini pesa haitaenda kuongeza uwekezaji. Hiyo unamlipa pwagu kwa kumkopa pwaguzi bado deni liko palepale.
3. Tanesco kuna ujanja ujanja katika malalamiko makubwa ya Mkaguzi mkuu ni kwamba Tanesco walikuwa wanamkwepa ili wasiwe kwenye ripoti yake. Sasa kama kila kitu kipo poa kwanini wanakwepa?. Kwanini mtu akaweke pesa yake kwenye shirika ambalo wahasibu wake wanamkwepa mkaguzi mkuu wa taifa!!.
4. Kwenye kampuni za umeme suluhu ya madeni sio kuongeza wamiliki kwa kuuza share. Kuna mambo machache yanayosababisha madani
(a) Uendeshaji wa kampuni mbovu (b) Vyanzo vya umeme wa kuuza kuwa na bei ya juu kuliko bei ya kuuzia (c) Maafa kama ukame, mvua, matetemeko. (d) Mikataba mibovu mfano mkataba wa gas ...nk. Sasa hawa wanasiasa ni lazima wajadili kwanza kwanini Tanesco ina madeni mengi kabla ya kujua wafanyaje

Kitu cha kwanza cha kufanya ni kuwita mkaguzi mkuu na yeye awape Ernest and Young waandae ripoti nzima ya kila kitu kuhusu hii kampuni. Lakini nita kuhakikishia watakuta madudu mengi sana
 

Narudia wewe ni mpumbavu sana, unadhani jamii ya wamarekani wametumia miaka mingapi hadi kufikia hiyo civilisation unayoiona Léo, na at what cost ?
Na kwa upumbavu wako unadhani kinachowezekana marekani kinawezekana Tanzania.
 
Unajua tofauti ya huduma na biashara?!!..Nani alikwambia Tanesco haifanyi biashara?..
 
Hilo wazo la watu kubinafisha TANESCO ni upunguwani...

Unazijua Nchi Ngapi ambalo Kuna Mashirika mengi mengi ya Umeme?
 
Ndugu mwandishi nataka nikufahamishe Tanesco bado inauzwa umeme na hayo makampuni!!!.. Yawezekana hujui lakini Usipende kupotosha!!
 
Ndugu mwandishi nataka nikurekebishe kabla huja endelea unataka ujue shirika lako lina nunua umeme mwingi kuliko linanavyo zalisha lenyewe!!!.. Ndugu Mwandishi wabia wengi waliowahi kuingia Tanesco (Net group) walishindwa kwasababu Serikali yako ilikua hailipi!!!.. Ndugu mwandishi kuna watu binafsi wanaidai Tanesco mabillion tokea miaka 20 iliyopita na hadi Leo hawajui zinapatikana wapi?!!.. Ndugu mwandishi unajua ukinunua Mafuta Una changia REA?!!..Sasa kama Unaweka Fedha huko na Bado bei ya umeme ni kubwa, unadhani bado twendelee na hii habari kweli!!!.. Ndugu mwandishi twelezee interest zako kwenye shirika hili!!
 
Tanesco ina madeni tu na bado haijaweza kulipa hata robo!!!...Acha propoganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…