Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Kwanini wasijenge sasa ? Hizi story za kupewa Tanesco huoni zinakwenda against na unachosemaSekta binafsi imejenga na kuendesha miundo mbinu na uzalishaji wa umeme dunia nzima, kwanini unafikiri kwa TZ haiwezekani?
Mkuu Private Ownership ni for Profit always kwahio in the end chochote kitakachopatikana lazima gharama iongezeke ili watu wapige faida..., Ukiongelea efficiency kwamba huenda Private ndio itafanya vizuri (kama wafanyakazi ni hao hao lazima kuna njia mbadala ya kuwafanya hao watu wawe efficient)na serikali badala ya kutoa pesa kwa TANESCO kila siku inaweza kutoa ruzuku kwa wananchi moja kwa moja mfano hiyo 27K tunajua sio bei halisi, hapo serikali inaweza kusaidia ili mwekezaji alipwe market price...ninapoishi market ya umeme yote ni private sector 100% na sijawahi kuona umeme umekatika for the last 20 years na umeme ni bei rahisi sana
Nakuacha na kisa kimoja kilichotokea California baada ya Kampuni ya Energy (ENRON) kuruhusiwa ku-trade umeme kama stock..., kilichotokea ni watu kuzima mitambo ya umeme kwa makusudi ili bei ipande na kushuka na wao kupiga pesa...
Sio kwamba sipendi free trade bila monopoly (actually I love it) ila wawekezaji waje wazalisha umeme wanavyopenda ila distribution ibakie Tanesco unless they can do it better, safely and efficiently..., Kuna maeneo mengi sana hayajafikiwa na umeme kwanini wasianzie huko na modal zao na uzoefu wao? Kwanini walitolee tamaa hili shirika ambalo lipo tayari? Ukizingatia baada ya Bwawa la Nyerere tutakuwa na Umeme wa Kumwaga...., why now na sio kipindi kile ambapo kina Dowans na Symbion walikuwa wanafanya yao ?