Nafahamu linauziwa.
Kampuni ya kufua umeme ya IPTL ni mfano mzuri.
Songas pia ni mfano mwingine. Ila sio kila taasisi au shirika la uma ni la kubinafsisha.
Umetolea mifano ya mabank, ukatoa mfano wa kampuni ya bia.
Nikikuwekea vitu hivi Umeme,Sigara,Pombe, Na uchague bank ya kuhifadhi pesa zako bila shaka chenye thamani zaidi ni umeme hapo.
Umeme ni nguzo muhimu ya kiuchumi kwa taifa, inatakiwa iwe stable siku zote kuiruhusu ubinafsishaji ni kuruhusu mlipuko wa bei za ajabu ajabu za bidhaa, huduma na maisha kwa ujumla.
Narudia maboresho mazuri yanahitajika lakini sio ubinafsishaji.