Tunapotaka kutumia nguvu kubwa Kupindua Meza kwa Kaizer Chiefs FC je, tunaoenda kukutana nao Semi Finals tutawaweza?

Hahaha we jamaa ulichokosa ni kaniki na tunguli tu! Ila ukipewe ungo unapaa wewe
Ukifuatilia anachokiongea utagundua labda alikosa nafasi ya kuchaguliwa kuwa kiongozi wa Timu ndio maana amekuwa adui. Na adui wa ndani ni hatari kuliko hawa wa nje ya timu yako.

Anaongelea kuhusu ushiriki wake kwenye kamati ya roho mbaya ya kusaidia timu kupata ushindi - anataja na vitu vinavyofanyika, huu ni utoto au hasira flani iliyo ndani ya moyo wake baada ya kutofautiana na wenzake. Huyu apewe ungo tu apae angani hana tofauti na kirusi kipya cha Covid
 

Kuna timu umezitaja hapo kuwa huenda Simba ikakutana nayo semi final, lakini umeshindwa kufikiria hizo timu zina nafasi ndogo sana kufuzu semi final. Mamelodi ana mlimba wa kufuzu mbele ya Al Ahly. Na hata hao Esperance du Tunis wana kazi ya ziada kupindua meza maana walipigwa mbili kavu
 
Baada ya ile mechi na kaizer kuisha na baadae kutazama mechi ya alhaly na mamelod nikasema mungu ni mkuu kutufanya tushike nafasi ya kwanza kwenye kundi ivi awa mamelod ndio tulitamba waje au ilikua kujimwambafai na sio siriazi wale waarabu wameendeshwa japo walishinda lakini kule south lolote linaweza tokea wana mpira wa hatari sana kuna yule mruguay Gaston sirino hatari sana anachanganya miguu kama sio umakini wa kipa na bahati ile mechi pale ingefikia kweny 2-2 au 3-2
But sometimes nikiwaza tungeingia na spirit tulio ingia na mechi ya alhaly sizani kama ingekua vile takwimu na msimamo wa ligi kwa kaizer plus wachambuz vikatuingiza chaka na kuvimba kichwa
 
Kuna mikia wanaakili kumbe.......waambie ukweli mbumbumbu wachache ambao mpaka leo wanadanganyana historia ya Mfulila toka Zambia 🇿🇲 in early 1970's
 
Kuna mikia wanaakili kumbe.......waambie ukweli mbumbumbu wachache ambao mpaka leo wanadanganyana historia ya Mfulila toka Zambia 🇿🇲 in early 1970's
Wanadanganywa wakati ni kweli kwani uongo aikutokea
 
SIMBA kama CCM tu, walibweteka sana sasa WANALIA, hata CCM miaka yote inajua inaongoza wajinga sasa watanzania walipofunguka ndio WAKAANZA KUIBA KURA na KUENGUA WAGOMBEA kama alivyosema NAPE.
 
Yote hayo yeye haangalii! Ye' ana hasira na Simba tu!
Sijui ANAKEREKA na nini iwapo Simba inatafuta kila njia KUPINDUA MEZA!!? Likiwezekana hilo, sina shaka ataweza kujinyonga!
 
Mnadanganyana tu.......saizi mpira unachezwa kwa akili,siyo nguvu kama enzi hizo za Mkoloni
Ni kweli mpira wa sasa ni technique tu sio nguvu kama ulivyosema sahihi kabisa ata simba juzi kafungwa goli za kimbinu na sio kubahatisha swala ni kwamba iyo kitu aikutokea kama unavyosema kwamba ni uongo mtan
 

Esperence anapindua meza.. tunza hii comment... inaoneka hufatilii mpira wa africa sana.. esperence hatolewi robo fainali
 
Kwanza hakuna mashabiki
 
Tunaoangalia mpira kwa jicho la tatu tumekuelewa ndugu, ila wale mashabiki maandazi hawawezi kukuelewa kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…