Tunapotaka kutumia nguvu kubwa Kupindua Meza kwa Kaizer Chiefs FC je, tunaoenda kukutana nao Semi Finals tutawaweza?

Wewe Ni mbumbumbu Sana.Wala hujitambui.

Kwahiyo Simba wasijipange ili kupata matokeo wasonge mbele kwa sababu kuna Mamelod,Wydad.Nina mashaka na ubongo wako.Hauko sawa.

Simba ikiweza kupindua meza unajua Ni kiasi gani cha fedha kitapatikana kutokana tu na kufikia semi final.Umeshawaza hili?

Tangu Simba inaanza haya mashindano unafikiri walikuwa hawajui kwamba kuna timu km Al Ahly,Wydad au Mamelodi? Na Ni timu zenye ubora?

Unawezaje kufikia quarter final halafu usitamani kucheza semi final eti uwaachie wengine kwamba wewe huna uwezo?

Simba haikufika hapo kwa kubahatisha Ni mpira wa viwango ulichezwa na kupata matokeo bora.Hayo ya uchawi Ni mentality yako.

Tumeona Mamelodi kafungwa na Al Ahly kwa hiyo mamelodi Ni underdog? Kwahiyo nao basi wamwachie Al Ahly na wasijipange na mechi inauofuata ili waweze kusonga mbele?

Kuna mambo umeandika ya maana lkn mengi uliyoandika yanawakilisha Mentality ile ile ya Kitanzania ya MAWAZO ya KIMASKINI ,unyonge ,watu wasioweza jambo lolote,watu wasiojiamini,watu wasio na malengo makubwa.Watu wa kuamini wale wanaweza sisi hatuwezi.

SIMBA ina uwezo wa kuutumia vyema uwanja wao wa nyumbani,kurekebisha kasoro za awali na kupata matokeo bora na kuingia hatua inayofuata.Inawezekana ,huu ni mpira inawezekana!!

Simba imeenda kushindana si kushiriki.Hawajafikia hapo bahati mbaya.

Povu ruksaaaaa,tukana,beza RUKSAAAA.

Una mawazo ya kimaskini!!!
 
Huna lolote mkuu wewe Ni wale wale tu watu wa malengo mepesi.Unaweza kuita wengine wapuuzi,shabiki maandazi kumbe wewe ndiyo shabiki kitumbua.
 
Mkuu Kama uliangalia vizuri mpira kuanzia dakika ya Kwanza Hadi ya 90 nahis Kuna kitu haijalishi Una taaluma yoyote ya soka au la ila haraka Simba tulizidiwa mbinu Hyo ila syo uwezo mpira tulicheza swala linalokuja kutofautisha ni score sheet au score board Simba Kuna kitu kinachoitwa marking on space Ndo tulimc aangalia goal la Kwanza Yule mchezaji anaruka Free header anaweke goal njoo goal la pili kapombe anamfata tayar kashapiga kichwa mpira upo wavuni twende goal la tatu Pascal Wawa Ana njano tayar akaenda kwa uoga kavishwa kikoi anapitiliza kilaini Sana zimbwe angefanya Nini Zaid ya kuutolea mpira pembeni akijua anaokoa kumbe anaseti njoo goali la mwisho mpira inapigwa cross kwenye box forward ipo peke yake inapiga Tena Free header hakuna beki ya Kati hata moja ya kumtinga mchezaji njoo kwa zimbwe muda mwingi alikuwa anawakaba wachezaji wawili yeye Mtu mmoja hakuna winga aliekuwa anakumsaidia The same case kapombe hivyo ila timu zote hakuna timu iliyofika robo halaf ukasema ni kibonde mpira ni technical Basi ila kama tunataka kufuzu kikosi inatakiwa kianze hapo chini ila kupangua baadhi ya wachezaji mfano rally bwalya nafasi achukue morisoni Said ndemla nafasi yake thadeo lwanga
 
Yaani serious kabisa unahofia kukutana na Wydad. Kwahiyo tuishie tu hapo.
 
Akili kubwa!! Simba haijafika hapo bahati mbaya.Umeongea sawa mkuu.
 
Kuna mtu kakuita mwezi mchanga,sidhani km kakosea.
 
Huyu anaweza kuwa Wambura bado ana hasira za kufungiwa kugombea uongozi wa soka
 
Hujui Mpira acha Kunipotezea tu muda.
 
You are an authentic Nut on the Forum.
 
Niliangalia mechi ya mamelody na Al ahly..aisee sisi bado sana
 
Subiri matusi toka huo mtambo wa matusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…