Tunapotaka kutumia nguvu kubwa Kupindua Meza kwa Kaizer Chiefs FC je, tunaoenda kukutana nao Semi Finals tutawaweza?

Simba anaponzwa na ligi ya nyumbani, ligi ina timu dhaifu nyingi mno
 
EPL team kuna mda zinacheza mechi baada ya masaa 48
 
Mamelody kafungwa alafu unamuwazia semi final kweli wewe ni Boflo kama xhaka humudu
 
Bila kuongelea ukomandoo haupati furaha njoo Mgulani uchague anaekufaa
 
Ulivyoandika Povu ...... nikajua jinsi gani ulivyo empty skull
 
Huwa unakuwepo wakati wanaroga na kupulizia dawa?
 
Huwa unakuwepo wakati wanaroga na kupulizia dawa?
Nimeshairogea sana Simba SC tena nikiwa na akina Juma Nkamia na Kassim Dewji ( KD ) katika Mechi Tatu Mbili za Kimataifa na Moja ya VPL na zote Simba SC ilishinda.

Kama hiyo haitoshi kuna Umafia mkubwa niliufanya kwa Nkana FC ilipocheza na Simba SC nikishirikiana na Waandishi Wanne wa Habari pale Getini Mkapa Stadium hadi Maofisa wa Nkana FC wakawa wananitafuta Kunidhuru ila Mafia nilishatoka pale na Chama akapiga Bonge la Bao Simba SC ikafuzu.

Unataka nikupe mengine au hii yatosha?
 
Na wameshajua Simba anafigisu za nje ya uwanja hivyo timu yeyote atakayokutana nayo akienda away atapigwa mpaka 20 goals ili wajiweke vzr na figisu za mikia Kwa mkapa
 
48 hrs mkulu
 
Waleteeni ujinga wa nje ya uwanja ndipo mtakapojua rais mpya wa CAF ni Patrice Motsepe kutoka South Africa
alipoingia Tu akapiga marufuku mashabiki uwanjani


Hata Kwa mkapa sijui kama wataruhu na hivi kamati imesema covid ipo na serikali itangaze


Na Simba wajue JPM amechangia pakubwa sna kufikia hapo walipofika
 
Duuu sasa ni bora mngekutana na Mamelod kuliko hao wengine. Amini hii!
Nishawaambia mara [emoji817] mamelod na sio kaizer chiefs hiyo siyo level Yao kabisa

Mpira wao ni tofauti kabisa na wao

Hawa kaizer wanamipira yote mpira wa don't touch wakiamua utapennda hata Simba hawawezi , mpira wa butua Kwa malengo wanao balaa ndo huo Simba wamechezeshwa 4

Pia wanacheza mchezo poa wanaweza kupoteza muda hasa kwa kumiliki wakicheza kama hawataki


Hawa jamaa siyo level ya Simba mwaka huu


Labda next time
 
Ndugu tukumbuke kuweka akiba ya maneno, mpira una mambo mengine jamani. Usije shangaa Simba wakafanya kila aina ya mbinu iwe za ndani ya uwanja ama nje ya uwanja na mwisho wa siku tukawakataa tena kaizer chiefs kama ndio wale wale waliokuwa south.
 
Ndugu tukumbuke kuweka akiba ya maneno, mpira una mambo mengine jamani. Usije shangaa Simba wakafanya kila aina ya mbinu iwe za ndani ya uwanja ama nje ya uwanja na mwisho wa siku tukawakataa tena kaizer chiefs kama ndio wale wale waliokuwa south.
Tunajua Simba wanahusudu sana uchawi na ndiyo jadi Yao


Nakuhakikishia hao siyo kuwa wapo hovyo kama nkana utakuja uone

Na kama wakipuliza madawa ya kisasa watajulikana


Simba hata south angefanya Tu umafia kaenda Kongo kafanya kaenda misri kafanya

Hawa jamaa ujue siyo urembo urembo
 
[emoji2][emoji2][emoji2]shikamoo genta
 
Niliangalia mechi ya mamelody na Al ahly..aisee sisi bado sana
Hiyo Al Ahly ni mpya au ni ile Simba walicheza nayo group stage.Mnawaza kwa kutumia nini?

Yani mentality ya mitanzania mingi Ni ya kimaskini Sana, Unyonge, kutojiamini,watu wasio na malengo.Kila kitu sisi hatuwezi,kila kitu sisi bado sana.

Sijawahi kujua mnatumia nini kuwaza.
 
Kikweli ktk timu zote nane simba ndio alikua underdog na kila timu ilitamani kupangwa na simba.
Chief walifurahi sana kupangwa na simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…