Tunapoteza muda, maandamano ya amani ni kwa ajili ya makongamano

Tunapoteza muda, maandamano ya amani ni kwa ajili ya makongamano

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Hamna amani kwenye kumtoa mtu madarakani, mtakuwa mnatembea barabarani kama machizi tu na lazima mfeli yaani mtu atoke nyumbani akakae barabarani maandamano yasio na kikomo bila kula eti kisingizio Samia atoke, wazee huyo hawezi kutoka kwa amani mnapoteza muda

Kama mmekosa kazi za kufanya laleni mnatia aibu, nchi haikombolewi kwa mabango.

Ninachoona hapa muda sio mrefu kutakuwa na ugomvi wa raia kwa raia sababu ya huu ujinga wa maandamano ya amani
 
Hamna amani kwenye kumtoa mtu madarakani mtakua mnatembea barabarani kama machizi tu na lazima mfeli yaani mtu atoke nyumbani akakae barabarani bila kula eti kisingizio Samia atoke wazee huyo bibi hawezi kutoka Kwa amani mnapoteza mda kama mmekosa kazi za kufanya laleni mnatia aibu nchi haikombolewi kwa mabango
So unataka wafanyaje?
 
Hao dawa Yao ni kama mo 29 wakiwaua na nyie poleni silaha zao mnakubalije kufa bila kupora siraha nchi haikombolewi kwa mabango
Kwa akili yako silaha chache mtakazo pora ndio mtaweza kuikomboa nchi ?

Hivi unaijua Dola vizuri na Raia wangapi Wana uwezo wa kutumia silaha ?

Kibiti walikuwa na silaha walifika wapi ?
 
Amani ni lugha tu, ila wanajua wakiyaanza hakutakuwa na Amani, uvunjifu wa Amani huwa haupangwi auwekewi mikakati
 
Kwa akili yako silaha chache mtakazo pora ndio mtaweza kuikomboa nchi ?

Hivi unaijua Dola vizuri na Raia wangapi Wana uwezo wa kutumia silaha ?

Kibiti walikuwa na silaha walifika wapi ?
Sasa endeleeni kuandamana Kwa amani mtakua kama machizi barabarani hamna mtachovuna mtu yupo chamwino nyie mpo dar mnaandamana Kwa amani naona Jana kasema haya majinga yashaingia kwenye mfumo
 
Amani ni lugha tu, ila wanajua wakiyaanza hakutakuwa na Amani, uvunjifu wa Amani huwa haupangwi auwekewi mikakati
Hao wajinga nimepita TikTok wanasema watu wawe na mabango na vitambulisho eti wakakeshe barabarani hivi Kwa akili ya kawaida mtu ukeshe barabarani bila kikomo unakula saa ngapi si ndio mwanzo wa wengine kutawanyika
 
Ili mradi ujumbe umfikie kwamba yuko pale kwa nguvu ya bunduki tu
 
Sasa endeleeni kuandamana Kwa amani mtakua kama machizi barabarani hamna mtachovuna mtu yupo chamwino nyie mpo dar mnaandamana Kwa amani naona Jana kasema haya majinga yashaingia kwenye mfumo
kwel kabsa, jana ndo ametuona machoko, tena kasema kumbe anatumudu vizuri
 
kwel kabsa, jana ndo ametuona machoko, tena kasema kumbe anatumudu vizuri
Dawa yake ni vurugu huku mnapora bunduki za hao polisi mpaka jeshi liiingilie kati uone kama hajaachia nchi Sasa wewe watu wanakufa zaidi ya elfu 10 na hamna kilichotokea si unyumbu huo
 
Hao dawa Yao ni kama mo 29 wakiwaua na nyie poleni silaha zao mnakubalije kufa bila kupora siraha nchi haikombolewi kwa mabango
Nilishataka kukuchukulia serious, lakini nilipofikia kusoma neno " poleni" nikabakia njia panda.. then baada ya Kung'amuwa ulikuwa unataka kuandika nini nikatanabahi kumbe ni wale wale, Misukule ya Gwajima" zero brain' .... Nikaacha kusoma uharo wako
 
Sawa Endelea kudumisha amani mwenzio anakuleng na bunduki we endelea kuimiza amani mpaka muishe
 
Mwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako

epuka kuichoma nchi yako
 
Mie niwaambie tu, kwa hapa sasa rudisheni mpira kwa kipa. Si kwa maana ya kushindwa lah, ila kwasababu ya kuwa wiser.

Mlipambana na mlichokuwa mnakipambania dunia yote imejua na mbingu zilikuwa shahidi. Rudisheni mpira.

Vitabu vimeonya na kuandika sana juu ya mwanadamu na hakuna kitu hakikuandikwa, muachieni yeye aliyeuumba huu ulimwengu na aliyetuumba sisi sote.

Nachojua, historia mpya juu ya ardhi hii imeandikwa na daima haitafutika. Yaliyotokea yametokea na kweli yametuumiza sana lakini ni nani aijuaye kesho yake? So, let's hope Mungu alikuwepo, yupo na ataendelea kuwepo hata baada ya juzi jana na leo.

Rudisheni mpira kwa kipa.
 
Hamna amani kwenye kumtoa mtu madarakani, mtakuwa mnatembea barabarani kama machizi tu na lazima mfeli yaani mtu atoke nyumbani akakae barabarani maandamano yasio na kikomo bila kula eti kisingizio Samia atoke, wazee huyo hawezi kutoka kwa amani mnapoteza muda

Kama mmekosa kazi za kufanya laleni mnatia aibu, nchi haikombolewi kwa mabango.

Ninachoona hapa muda sio mrefu kutakuwa na ugomvi wa raia kwa raia sababu ya huu ujinga wa maandamano ya amani
kabisa kabisa

1. Tuwe agenda ya kushambulia
2. Tuingie msituni kwa mapambano
 
huu ni ujinga maandamano ya amani wakati watawala wenyewe hawajali kuhusu amani? Yale maandamano ya mo29 ndio yanafaa kwa serikali yenye dharau kama hii choma kila kitu kuanzia hapo ulipo
 
Huwezi kuwatoa mafisadi bila Moto .sisi hakuna silaha na vifaru vya vita.MO29 ndio dawa watu wenye dharau
 
Back
Top Bottom