Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,743
- 6,656
Mbona Madagaska na Napel waliondoka kwa nguvu ya maandamano?Hamna amani kwenye kumtoa mtu madarakani, mtakuwa mnatembea barabarani kama machizi tu na lazima mfeli yaani mtu atoke nyumbani akakae barabarani maandamano yasio na kikomo bila kula eti kisingizio Samia atoke, wazee huyo hawezi kutoka kwa amani mnapoteza muda
Kama mmekosa kazi za kufanya laleni mnatia aibu, nchi haikombolewi kwa mabango.
Ninachoona hapa muda sio mrefu kutakuwa na ugomvi wa raia kwa raia sababu ya huu ujinga wa maandamano ya amani