Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
So unataka wafanyaje?Hamna amani kwenye kumtoa mtu madarakani mtakua mnatembea barabarani kama machizi tu na lazima mfeli yaani mtu atoke nyumbani akakae barabarani bila kula eti kisingizio Samia atoke wazee huyo bibi hawezi kutoka Kwa amani mnapoteza mda kama mmekosa kazi za kufanya laleni mnatia aibu nchi haikombolewi kwa mabango
Hao dawa Yao ni kama mo 29 wakiwaua na nyie poleni silaha zao mnakubalije kufa bila kupora siraha nchi haikombolewi kwa mabangoSo unataka wafanyaje?
Alikujibu nitagSo unataka wafanyaje?
Amejibu 👆 Invisible MafiaHao dawa Yao ni kama mo 29 wakiwaua na nyie poleni silaha zao mnakubalije kufa bila kupora siraha nchi haikombolewi kwa mabango
Kwa akili yako silaha chache mtakazo pora ndio mtaweza kuikomboa nchi ?Hao dawa Yao ni kama mo 29 wakiwaua na nyie poleni silaha zao mnakubalije kufa bila kupora siraha nchi haikombolewi kwa mabango
Sasa endeleeni kuandamana Kwa amani mtakua kama machizi barabarani hamna mtachovuna mtu yupo chamwino nyie mpo dar mnaandamana Kwa amani naona Jana kasema haya majinga yashaingia kwenye mfumoKwa akili yako silaha chache mtakazo pora ndio mtaweza kuikomboa nchi ?
Hivi unaijua Dola vizuri na Raia wangapi Wana uwezo wa kutumia silaha ?
Kibiti walikuwa na silaha walifika wapi ?
Hao wajinga nimepita TikTok wanasema watu wawe na mabango na vitambulisho eti wakakeshe barabarani hivi Kwa akili ya kawaida mtu ukeshe barabarani bila kikomo unakula saa ngapi si ndio mwanzo wa wengine kutawanyikaAmani ni lugha tu, ila wanajua wakiyaanza hakutakuwa na Amani, uvunjifu wa Amani huwa haupangwi auwekewi mikakati
kwel kabsa, jana ndo ametuona machoko, tena kasema kumbe anatumudu vizuriSasa endeleeni kuandamana Kwa amani mtakua kama machizi barabarani hamna mtachovuna mtu yupo chamwino nyie mpo dar mnaandamana Kwa amani naona Jana kasema haya majinga yashaingia kwenye mfumo
Dawa yake ni vurugu huku mnapora bunduki za hao polisi mpaka jeshi liiingilie kati uone kama hajaachia nchi Sasa wewe watu wanakufa zaidi ya elfu 10 na hamna kilichotokea si unyumbu huokwel kabsa, jana ndo ametuona machoko, tena kasema kumbe anatumudu vizuri
Nilishataka kukuchukulia serious, lakini nilipofikia kusoma neno " poleni" nikabakia njia panda.. then baada ya Kung'amuwa ulikuwa unataka kuandika nini nikatanabahi kumbe ni wale wale, Misukule ya Gwajima" zero brain' .... Nikaacha kusoma uharo wakoHao dawa Yao ni kama mo 29 wakiwaua na nyie poleni silaha zao mnakubalije kufa bila kupora siraha nchi haikombolewi kwa mabango
Sawa Endelea kudumisha amani mwenzio anakuleng na bunduki we endelea kuimiza amani mpaka muisheNilishataka kukuchukulia serious, lakini nilipofikia kusoma neno " poleni" nikabakia njia panda.. then baada ya Kung'amuwa ulikuwa unataka kuandika nini nikatanabahi kumbe ni wale wale, Misukule ya Gwajima" zero brain' .... Nikaacha kusoma uharo wako
kabisa kabisaHamna amani kwenye kumtoa mtu madarakani, mtakuwa mnatembea barabarani kama machizi tu na lazima mfeli yaani mtu atoke nyumbani akakae barabarani maandamano yasio na kikomo bila kula eti kisingizio Samia atoke, wazee huyo hawezi kutoka kwa amani mnapoteza muda
Kama mmekosa kazi za kufanya laleni mnatia aibu, nchi haikombolewi kwa mabango.
Ninachoona hapa muda sio mrefu kutakuwa na ugomvi wa raia kwa raia sababu ya huu ujinga wa maandamano ya amani