Tunapouliza Halima Mdee kafanya nini Kawe kwa Miaka yake 10 tujiulize na Sisi kwa 'Kujipendekeza' Kwetu kwa Mamlaka kama 'Wadau' kumetusaidia nini?

Jiana baya, NJAA ndii.... ana njaa, anahitaji chakula.
 
Paskali anasumbuliwa na ugonjwa wa ukabila
 
Yule mama alifanya mambo makubwa kwa Taifa hili- Kama kuna hoja za kijinga mtu asilete bungeni inawezekana ni kwa ajili ya halima
 
Wakati mwingine hukopeshi !!

WaTz wengi hawaelewi majukumu ya mbunge . Lakini pia katiba yetu si nzuri . Viongozi wa kuchaguliwa na wananchi hukosa meno kwa viongozi wa kuteuliwa. Na hapo ndipo lawama za hovyo umrudia mbunge au diwani.
 
Jimbo likikosa maendeleo lawama zote ni kwa serikali.

Ccm ndio imeunda serikali na inapaswa kutekeleza ilani yake kikamilifu.

Mtaji wenu ni ujinga wa Watanzania kwa sababu wengi hawana tofauti na maiti hawaelewi lolote.
 
Wabunge tena backbenchers wanaletaJe maendeleo zaidi ya kuainisha matatizo ya Jimbo serikalini ?!. Na kazi hiyo Halima huifanya kwa ueledi bungeni. Lakini umemsikia Rais akiwa Kilwa na Bunda alivyokosa leadership .
 
Wabunge tena backbenchers wanaletaJe maendeleo zaidi ya kuainisha matatizo ya Jimbo serikalini ?!. Na kazi hiyo Halima huifanya kwa ueledi bungeni. Lakini umemsikia Rais akiwa Kilwa na Bunda alivyokosa leadership .
Kuwa mbunge backbencher haimanishi huwezi kupigania jimbo lako kupata maendeleo. Joseph Msukuma amekuta jimbo lake lipo nyuma sana. Kwa muda mfupi amelipigania na lina hatua kubwa tu. Halima amepoteza muda mwingi akifanya harakati za siasa kuliko kutumikia wananchi. Sasa kama mtu anauliza kafanya nini? Anatakiwa ajibiwe sio kuanza kumponda kisa alipata kura moko.
 

Yaani jamaa ni bonge la hanithi, yuko kwenye tasnia ya habari zaidi ya miaka 20, lakini tasnia hiyo ndio imezidi kuwa kibogoyo na hakuna lolote la maana kafanya zaidi ya kujipendekeza. Bora hata Balile kawapatanisha kinafiki cdm na TBC. Halafu dume zima linajifanya kuhoji Halima kafanya nini, utadhani aliwahi kumpa Halima hela yake ya maendeleo.
 
Nafikiri umewahi kumsikia Halima bungeni. Lakini pia umemsikia Rais akiwa Kilwa na Bunda. Hapo unamlaumu je mbunge ?!. Hebu kuwa serious
 

Alimpa Halima shilingi ngapi za maendeleo?
 
Nafikiri umewahi kumsikia Halima bungeni. Lakini pia umemsikia Rais akiwa Kilwa na Bunda. Hapo unamlaumu je mbunge ?!. Hebu kuwa serious
Nafikiri hata Esther Bulaya au Mbowe umeshawashuhudia wakikagua miradi inayotekelezwa na Ccm. Alichomaanisha JPM ni kuwa akipata mbunge wa Ccm kuna kuwa na urahisi wa kufanya nae kazi,maana kama ni mzembe inakuwa rahisi kumwajibisha kama mwenyekiti wa chama. Hayo mengine ni utani tu wa JPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…