Tunapouliza Halima Mdee kafanya nini Kawe kwa Miaka yake 10 tujiulize na Sisi kwa 'Kujipendekeza' Kwetu kwa Mamlaka kama 'Wadau' kumetusaidia nini?


Cdm itafutika kwenye siasa za Tanzania siku kwa kura, na kawe haitarudi ccm kwa kura halali, bali kwa maagizo ya Magufuli katika project yake ya mfumo sukuma. Na hiyo October nilikuambia hakuna uchaguzi, bali ni kelele cha maonesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Sasa kama yeye haoni na ni mkazi wa hapo kawe, na alitia nia lakini wajumbe wakaona hatoshi wajumbe sisi wa mitandaoni hizo ndo spana zetu. WACHA TUMKAZE TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…