Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Wewe mwenye siasa hai ziko wapi? Umesikia Halima anatema jimbo unajihakishia kama una kipindupindu. Unadhania Ccm ni taasisi ya wauza mbege? Wewe una siasa gani hai?
Nakuambia mambo yote ambayo tulikuwa tunabishana hapa jukwaani utakuja kuona majibu yake.
Mosi Jimbo la Kawe lazima lirudi CCM
Pili, Chadema itafutika kwenye siasa za Tanzania baada ya Oktoba 2020.
Cdm itafutika kwenye siasa za Tanzania siku kwa kura, na kawe haitarudi ccm kwa kura halali, bali kwa maagizo ya Magufuli katika project yake ya mfumo sukuma. Na hiyo October nilikuambia hakuna uchaguzi, bali ni kelele cha maonesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.