Tunashughulikia masuala mbalimbali Dar bila wewe kufika huku

Tunashughulikia masuala mbalimbali Dar bila wewe kufika huku

Joined
Jan 15, 2025
Posts
38
Reaction score
27
Habari,
Hii ni kwa ajili ya wadau waliopo mikoani (Nje ya Dar es Salaam) na wana shida ya kufika Dar es Salaam ili kutatua shida zao, Wanaweza kuokoa muda, gharama za malazi na usafiri, pamoja na usumbufu kwa kutuagiza sisi RMK Freelance services kushughulikia maswala yao
Huduma kama hii anaitoa Dodoma messengers kwa Dodoma, kwa Dar es Salam tuko hapa kukusaidia.

Epuka gharama za usafiri, muda pamoja na usumbufu kwa kutuagiza sisi tushughulikie majukumu yako hapa Dar.

Kisha utatupa kiasi kidogo cha malipo baada ya kufanikisha kazi uliyotupatia. Tunafanya kazi kwa uaminifu mkubwa ili kuridhisha wateja wetu.

Lakini pia tunatoa huduma hii hata kwa walipo Dar es Salaam lakini wako busy na shughuli nyingine hivyo kukosa muda wa ku-deal na maswala fulani.

Huduma zetu ni unlimited kumaanisha kuwa tunafanya kila shughuli (halali) kutokana na maelezo pamoja na maagizo ya muhusika.

Huduma zetu ni kama;
  • Kusimamia Uagizaji wa mizigo mbali mbali kutoka Dar kwenda mikoani pomoja na na kuipokea
  • Kupeleka Nyaraka (Documents) kwenye Maofisi mbali mbali.
  • Kufatilia maswala yako binafsi kwenye Taasisi zote za binafsi, umma /serikali.
  • Kufanya site visit
  • Kufanya booking za vyumba na kufatilia sehemu za kufikia wageni(Guest house, hotels, and restaurants)
  • Kufanya research juu ya bei ya bidhaa fulani na mahali zinakopatikana.
  • Kupokea Wageni ambao wanaingia Dar es Salaam mara ya kwanza na hawana wenyeji hapa.
  • Kukutana na watu mbali mbali
  • Kutafuta venue kwa ajili ya events
  • Huduma ya kukusaidia kupata Vyumba na Nyumba
  • Kukagua miradi
Haya ni baadhi ya mambo tunayoweza kukusaidia, ila tunafanya mambo zaidi ya hayo kutokana na mahitaji yako.

Wasiliana na sisi kupitia mawasiliano hapa chini.

RMK Freelance services;
Email : rmkfreelanceservices@gmail.com
Phone: +255737450640
Watsapp: +255737450640
Dar es Salaam, Ubungo.
Okoa muda, okoa gharama, epuka usumbufu kwa kutuagiza sisi Majukumu yako.

Ahsanteni na karibu kwa huduma.
 
Majizi majizi Aya.
Ndugu Namata hakuna wizi wowote, Kufanya kazi nasi uaminifu ni mkubwa, aidha malipo ni baada ya kazi. Hatupokei pesa yoyote nje ya malipo yetu ya kazi.
Si vizuri kuchafua biashara, na ni kosa kisheria.
Ikiwa ulishawahi kuibiwa nasi tunakuruhusu weka ushahidi hapa, na kama ulitamka bila maana yeyote ningekushauri ufute comment yako, kabla sijakureport kwa kosa la kuchafua biashara yetu.
Kwa mawasiliano zaidi na maelezo wasiliana nasi kwa namba, email au tutumie message PM.
 
Ninaomba radhi kwa wote walionitafuta PM sikujibu kwa wakati kwani nilikuwa nikishughulikia maswala mengine.
Niko hapa kuendelea kupokea kazi toka kwenu. Ukiona PM hujibiwi haraka tafadhali Wasiliana nasi kwa namba ya simu au email utajibiwa kwa haraka zaidi.
Phone/watsapp: +255737450640
Email; rmkfreelanceservices@gmail.com
 
Je, upo nje ya Dar na unahitaji kutatua Changamoto fulani? Okoa muda, gharama na usumbufu kwa kutuagiza tushughulikie maswala yako hapa Dar!
 
Are you abroad and have some issues to be solved in Tanzania? Well, you can save your money and cut costs by hiring us to deal with your issue.
Even if you are planning to visit in Tanzania and struggling with who gonna be your host when you arrive in Tanzania?
We got you covered!
Contact us:
watsapp: +255737450640
Email: rmkfreelanceservices@gmail.com
 
Are you abroad and have some issues to be solved in Tanzania? Well, you can save your money and cut costs by hiring us to deal with your issue.
Even if you are planning to visit in Tanzania and struggling with who gonna be your host when you arrive in Tanzania?
We got you covered!
Contact us:
watsapp: +255737450640
Email: rmkfreelanceservices@gmail.com
 
Ikiwa upo mkoani nje ya Dar es Salaam na una shida ya kufika dar es Salam, unaweza kuokoa muda. Gharama pamoja na usumbufu kwa kutuagiza sisi tushughulikie maswala yako hapa Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom