Ikiwa upo mkoani nje ya Dar es Salaam na una shida ya kufika dar es Salam, unaweza kuokoa muda, Gharama pamoja na usumbufu kwa kutuagiza sisi tushughulikie maswala yako hapa Dar es Salaam
Wasiliana nasi kwa mawasiliano hapo juu!
Okoa usumbufu, muda na gharama.
Uaminifu ni kipaumbele chetu!