Tetesi: Tunashukuru kwa Serikali kumalizana kabisa na Mkulima wa ndege


Asingellipwa ungeona mbwembwe kama zile za Afrika kusini kuwa tumemshinda mzungu. Kitendo cha kuona hiyo ndege bila mbwembwe za kushinda kesi pigia jibu mstari.
 
Halina mjadala pasipo kithibitisho? Au ni sababu ndio habari unayoipenda, as if ni makosa ya magu kumdhulumu huyo mzungu, haters mbona mtateseka sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Kosa siyo kudaiwa wala kiini cha deni; hakuna serikali duniani isiyodaiwa. Kosa ni jaribio la kumdhulumu mkulima kwa kukataa kuendelea kumlipa na kumpiga marufuku kukanyaga ardhi ya nchi hii wakati anatudai! That was a stupid and primitive mistake. We are not a gangster republic; whoever advised on this course of action must be made to account.
 
Yes ndege zetu peleke nyama ya mbuzi Dubai kama alivyosema bablai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazalendo tumehakikisha mkulima analipwa haki zake. Huu ndio ustaarabu wa ulimwengu wa sasa
 
Hata kama ni kweli tumelipa, Immmma, Tundu Lisu& Co. hawakujui na wala hawatakupa hata shilingi, wenzako hela ya uwakili wameingiziwa kwenye akaunti na Muzungu wewe takataka unabakia kupiga mihayo ya ushabiki hapa JF.

Low IQ individual!
Ni aibu kutokulipa madeni ya wazi kama hayo. Ni sawa na wewe Barbarosa uwe unatumia maji au umeme halafu HULIPI MPAKA UKATIWE!
Sio tabia nzuri, au ndivyo ulivyo binafsi? Kwamba hulipi mpaka ukatiwe huduma hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leta habari wewe sasa alivyo kuwa analipwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ah ah wamarwkani wana neno lao we dont negotiate with terrorist...basi serikali ijiandae na kesi kila kona ya dunia wale wote waliokua wanadai wakijua hili linawezekana...nawasilisha
Acha uongo. Marekani inafanya sana negotiations na terrorists, ambao hawafanyi ni Russia na Israel. Hawa wako tayari uwaue mateka kuliko wakubali masharti yako

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
Alikuminya haki gani mkuu? Au vyeti feki?
 
Reactions: Oii
Halina mjadala pasipo kithibitisho? Au ni sababu ndio habari unayoipenda, as if ni makosa ya magu kumdhulumu huyo mzungu, haters mbona mtateseka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mme kuwa Wapole, baada ya kulipa, tuliwaambia kabudi anawadanganya hamkusikia,

Ule ulikuwa ubabe wa kishamba tu. Umewagharimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…