Tetesi: Tunashukuru kwa Serikali kumalizana kabisa na Mkulima wa ndege




Tuwekee hapa Hukumu ya Kesi na Makubaliano yao vinginevyo ukae kimya!
 
Acha mkwara mbuzi Pimbi wewe, jibu hoja.
Mkulima kalipwa au hajalipwa????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ana uchungu ni kwanini hazai???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu JF kila mtu mjuaji. Unakuta na tindo anajua kila kitu cha serikali Hahahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halina mjadala pasipo kithibitisho? Au ni sababu ndio habari unayoipenda, as if ni makosa ya magu kumdhulumu huyo mzungu, haters mbona mtateseka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Makosa ni ya Magu. Huko nyuma Mzungu alikuwa akitengewa malipo na kulipwa kidogo kidogo. Sasa akaja Magu na chuki zake za kutotaka kulipa madeni eti kwa wanyonyaji, akakata malipo. Mzungu si Masanja wala Masunga, akakaza buti la sheria, cha moto tukakiona!!!
 
Chadema kinadai kina wanachama milioni sita na wafuasi milioni saba, lakini wote hao wasema tena kwa kujiamini kuwa chama chao hakiwezi kusimama bila akili ya "mtu mmoja". Hiyo unaisemaje Mkuu??
sasa Chadema wameingiaje hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…