Tetesi: Tunashukuru kwa Serikali kumalizana kabisa na Mkulima wa ndege

Tetesi: Tunashukuru kwa Serikali kumalizana kabisa na Mkulima wa ndege

Habari za weekend?

Nina info za uhakika kabisa kutoka vyanzo vya kuaminika kabisa kabisa kwamba Mkulima kamalizwa na malipo yalikamilishwa Jumanne iliyopita, na ni madai yake yote na safari hii pia tutarajie hata safari za South Africa kuanza muda wowote kuanzia sasa.

Cha kushangaza kidogo Pesa zilizolipwa kwa Mzungu zimekuwa deducted kutoka kwenye pesa za matumizi ya Rais au Ofisi ya Rais. Na hii ni ili ukaguzi usiwepo kabisa, hivyo hizi pesa hazitakaa zikaguliwe kokote kule na hapo hazina wana jukumu sasa la kupeleka cash zingine kwenye matumizi ya Ikulu.

Jamaa kaniambia kwenye makubaliano ni kwamba Mkulima asiongelee chochote kile na hili sharti pia lina gharama zake maana yake kuna pesa na za ziada kapewa ambazo in hisiwa ni za kumnyamazisha kwenye socia media. Hivyo basi hamtakaa msikie mzungu akiongea chochote kuhusu ndege ila kamamalizwa kabisa.

Tunashukuru Serikali kwa kumalizana naye.

Na kwa sasa ndege zetu zitakuwa huru kufanya safari kokote kule duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app



Tuwekee hapa Hukumu ya Kesi na Makubaliano yao vinginevyo ukae kimya!
 
tindo, Una uhakika kapata haki yake? Au unatamani Iwe hivyo? Unajua alikua analipwaje huko nyuma mpaka sasa hivi Magu akaamua kusitisha malipo ya huyo mzungu? Usipende kuropoka vitu usivyovijua kisa tu upo kwenye keyboard hakuna mtu anaekujua.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Acha mkwara mbuzi Pimbi wewe, jibu hoja.
Mkulima kalipwa au hajalipwa????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ndo hujui lolote. Nchi Hii watu wamepiga sana hela na inawezekana wewe mmojawapo. Na mbinu zenu ndo Hizo. JPM alishajajua mengi. Kaa ukijua huyu Ni Rais mwenye uchungu wa dhati. Ndo mana hata lugha zake hazina usiasa Siasa wa kutaka kuwaridhisha wajinga kama nyie.
Kama ana uchungu ni kwanini hazai???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tindo, Una uhakika kapata haki yake? Au unatamani Iwe hivyo? Unajua alikua analipwaje huko nyuma mpaka sasa hivi Magu akaamua kusitisha malipo ya huyo mzungu? Usipende kuropoka vitu usivyovijua kisa tu upo kwenye keyboard hakuna mtu anaekujua.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Mkuu JF kila mtu mjuaji. Unakuta na tindo anajua kila kitu cha serikali Hahahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halina mjadala pasipo kithibitisho? Au ni sababu ndio habari unayoipenda, as if ni makosa ya magu kumdhulumu huyo mzungu, haters mbona mtateseka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Makosa ni ya Magu. Huko nyuma Mzungu alikuwa akitengewa malipo na kulipwa kidogo kidogo. Sasa akaja Magu na chuki zake za kutotaka kulipa madeni eti kwa wanyonyaji, akakata malipo. Mzungu si Masanja wala Masunga, akakaza buti la sheria, cha moto tukakiona!!!
 
Chadema kinadai kina wanachama milioni sita na wafuasi milioni saba, lakini wote hao wasema tena kwa kujiamini kuwa chama chao hakiwezi kusimama bila akili ya "mtu mmoja". Hiyo unaisemaje Mkuu??
sasa Chadema wameingiaje hapa?
 
Back
Top Bottom