Tunashukuru Mashekhe wa Uamsho kuachiwa huru. Je, Mashekhe 70+ waliotajwa na Tundu Lissu kuwa wanaozea magerezani wametoka? Kama bado watatoka lini?

Tunashukuru Mashekhe wa Uamsho kuachiwa huru. Je, Mashekhe 70+ waliotajwa na Tundu Lissu kuwa wanaozea magerezani wametoka? Kama bado watatoka lini?

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
Nampongeza Tundu Lissu kwa kuwatetea Mashekhe wa Uamsho, Answar Sunna, waliotupwa katika mahabusu mbalimbali.

Wanasiasa wengi walikwepa kuwazungumzia Mashekhe hao kwa kuogopa mkono wa dola, au kutengwa na jamii yenye mtizamo hasi dhidi ya viongozi hao wa kidini.

Nimesikia kwamba Mashekhe wa Uamsho wameachiwa, lakini sijasikia kama Mashekhe wa Answar Sunna nao wameachiwa.

Hebu tujikumbushe hapa chini jinsi Lissu alivyowataja Mashekhe bila uoga.

Back
Top Bottom