Amekuwa wazi mwana halisi wa nchi hii, Rais wa mioyo ya wengi - Tundu Antipas Lissu:
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu, amesisitiza umuhimu wa kupatikana kwa Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025. Lissu ameonya kuwa ikiwa maridhiano hayatapatikana, Chadema itaathiriwa. Rais Samia Suluhu Hassan alipokea taarifa ya maendeleo ya mazungumzo ya maridhiano kati ya Chadema na CCM mnamo Desemba 2022. Lissu amesema kuwa maridhiano yanapaswa kuzingatia ukweli na haki, na kuwataka watu wafidiwe kwa madhara waliyoyapata. Amezungumzia pia umuhimu wa mchakato wa Katiba mpya, akisema kuwa ni jukumu la wananchi kuamua viongozi wao. Lissu ameonyesha wasiwasi juu ya viongozi wasiochaguliwa na wananchi katika ngazi za chini, na amehimiza umuhimu wa kuwekeza katika kilimo badala ya kubeti.
Hizi ndiyo kauli za watu sasa tulizokuwa tumezikosa mno.
Tumesema sana na tuko tayari.
Nisiwachoshe na wala tusichoshane:
Uchaguzi bila katiba mpya wa nini?
Kwamba: Tunahitaji kuwa na uhakika ili kuweza kujipanga kwa hatua zetu za baadaye, iwe ni kusuka au kunyoa nywele zetu. Tunayo imani na CHADEMA ambayo ina misimamo ifuatayo:
1. Kipaumbele chao ni kupatikana kwa Katiba mpya.
2. Hawatakuwepo uchaguzi mkuu wa mwaka 2024/25 bila Katiba mpya.
Baada ya sherehe na matukio muhimu ya uzinduzi wa mikutano ya kisiasa na mapokezi ya wenzetu waliokuwa uhamishoni, tunatarajia sasa kama chama, tunajiandaa kwa kazi rasmi.
Tunatambua kuwa safari yetu haitakuwa rahisi. Tutakutana na changamoto nyingi na uchungu, lakini tunaamini tutashinda.
Tunapenda kupata taarifa kuhusu mpango wa hatua za kupata Katiba mpya. Tungependa kujua wazo lililopo akilini mwa viongozi wetu ili tuweze kuchangia na kujiridhisha.
Pia, ingekuwa vyema sana kumtambulisha mkuu wa mikakati ya chama kuelekea Katiba mpya.
Tunamuomba Mungu abariki CHADEMA.
Tundu Antipas Lissu, ulipo tupo:
1. Uchaguzi huru, wazi na haki ndani ya CDM ndiyo njia ya kwenda.
2. Kama #1 hapo juu haiwezekani hata FORD ilizaa FORD Kenya na Ford Asili. Jahazi likasonga.
Aluta Continua!