Tunasubiri 16.2.2024, Kero umeme kuisha, stiglers inawashwa

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Niseme kiukweli tupo kwenye majonzi mazito, misiba mbalimbali imetokea. lakini licha ya hayo bado kero ya umeme imezidi kushamiri na mfano mzuri nitukio la kukatika umeme pale karemjee wakati wakimuaga ndugu Lowasa.

Serikali ya CCM ilituahidi kuwa kero ya umeme itaisha kuanzia tarehe 16-02-2024 ''YAANI KESHO'' ambapo tunatarajia mradi mkubwa wa kufua umeme wa maji stiglers HEP au nyerere hydropower kuwashwa. na tunagemea ikishawashwa basi kero ya kukatika umeme itaisha, licha ya kuambiwa kuwa gesi yetu ya mtwara imepungua sasa sijui ndo inaisha.

kwahiyo hatutakubali kauli yoyote kutoka kwa serikali kuhusu kuwasha stiglers, maana sioni shamra shamra zozote zinazoendelea kuelekea kwenye tukio hilo muhimu. kumukuwa kimya, au ni dalili ya kusema kuwa tuna msiba na umeme wa bwawa la stiglers tutawasha april.
 
Ukiwaza sana utaumwa kichwa

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
 

Attachments

  • Screenshot_20240215-122041_Gallery.jpg
    719.7 KB · Views: 3
ikiwa kama mambo yatakwenda vizuri kama ilivyopangwa basi muda si mrefu jambo hili la umeme litakua limekwisha kabisa na umeme utakua wa kutisha na uhakika zaidi....

muhimu ni ustahimilivu na subea tu,
hii ya eti sijui tusubiri siku na tarehe fulani tuone itakuaje, haina maana sana kwenye utendaji...

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Hata hiyo April Ni ndoto ndugu yangu.
Reli ya Dar mpaka Moro mwaka wa Saba huu bado CCM wanajiumauma.
Tukubali kwa Baraza hili tutapikwa kwenye umeme, sukari na nauli.
Kama Ni mfanyakazi wa serikali kaa kwa kutulia, hakuna nyongeza.
 
 
Kesho watakuambia nchi ipo kwenye Msiba [emoji16][emoji1]
 
Usiku wa deni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…