Tunasubiri 16.2.2024, Kero umeme kuisha, stiglers inawashwa

Niseme kiukweli tupo kwenye majonzi mazito, misiba mbalimbali imetokea. lakini licha ya hayo bado kero ya umeme imezidi kushamiri na mfano mzuri nitukio la kukatika umeme pale karemjee wakati wakimuaga ndugu Lowasa.

Serikali ya CCM ilituahidi kuwa kero ya umeme itaisha kuanzia tarehe 16-02-2024 ''YAANI KESHO'' ambapo tunatarajia mradi mkubwa wa kufua umeme wa maji stiglers HEP au nyerere hydropower kuwashwa. na tunagemea ikishawashwa basi kero ya kukatika umeme itaisha, licha ya kuambiwa kuwa gesi yetu ya mtwara imepungua sasa sijui ndo inaisha.

kwahiyo hatutakubali kauli yoyote kutoka kwa serikali kuhusu kuwasha stiglers, maana sioni shamra shamra zozote zinazoendelea kuelekea kwenye tukio hilo muhimu. kumukuwa kimya, au ni dalili ya kusema kuwa tuna msiba na umeme wa bwawa la stiglers tutawasha april.
Usiku wa deniView attachment 2905038

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ni kesho, wasipoleta naungana na Chadema kwenye maandamano kukatika kwa umeme ni kero kubwa
 
Niseme kiukweli tupo kwenye majonzi mazito, misiba mbalimbali imetokea. lakini licha ya hayo bado kero ya umeme imezidi kushamiri na mfano mzuri nitukio la kukatika umeme pale karemjee wakati wakimuaga ndugu Lowasa. Serikali ya CCM ilituahidi kuwa kero ya umeme itaisha kuanzia tarehe 16-02-2024 ''YAANI KESHO'' ambapo tunatarajia mradi mkubwa wa kufua umeme wa maji stiglers HEP au nyerere hydropower kuwashwa. na tunagemea ikishawashwa basi kero ya kukatika umeme itaisha, licha ya kuambiwa kuwa gesi yetu ya mtwara imepungua sasa sijui ndo inaisha. kwahiyo hatutakubali kauli yoyote kutoka kwa serikali kuhusu kuwasha stiglers, maana sioni shamra shamra zozote zinazoendelea kuelekea kwenye tukio hilo muhimu. kumukuwa kimya, au ni dalili ya kusema kuwa tuna msiba na umeme wa bwawa la stiglers tutawasha april.

Tusiandike uongo. Mama Samia aliwapa watendaji miezi sita kuanzia oktoba liwe limeisha.

Kuwashwa steigler pekee hakumaanishi kumemaliza tatizo.
 
Niseme kiukweli tupo kwenye majonzi mazito, misiba mbalimbali imetokea. lakini licha ya hayo bado kero ya umeme imezidi kushamiri na mfano mzuri nitukio la kukatika umeme pale karemjee wakati wakimuaga ndugu Lowasa.

Serikali ya CCM ilituahidi kuwa kero ya umeme itaisha kuanzia tarehe 16-02-2024 ''YAANI KESHO'' ambapo tunatarajia mradi mkubwa wa kufua umeme wa maji stiglers HEP au nyerere hydropower kuwashwa. na tunagemea ikishawashwa basi kero ya kukatika umeme itaisha, licha ya kuambiwa kuwa gesi yetu ya mtwara imepungua sasa sijui ndo inaisha.

kwahiyo hatutakubali kauli yoyote kutoka kwa serikali kuhusu kuwasha stiglers, maana sioni shamra shamra zozote zinazoendelea kuelekea kwenye tukio hilo muhimu. kumukuwa kimya, au ni dalili ya kusema kuwa tuna msiba na umeme wa bwawa la stiglers tutawasha april.
Subiri kidogo hadi June, vumilia
 
Tatizo litapunguwa lakini umeme bado hautoshi kama treni nayo ikianza kazi
 
Nimekaa pale....
 
Tusiandike uongo. Mama Samia aliwapa watendaji miezi sita kuanzia oktoba liwe limeisha.

Kuwashwa steigler pekee hakumaanishi kumemaliza tatizo.
Haliishi hata mwezi ujao hiyo miezi sita itakapofika.
 
IMG_8595.jpg

Let’s keep waiting the date 16/Feb/2024 is tomorrow but don’t trust this government
 
Niseme kiukweli tupo kwenye majonzi mazito, misiba mbalimbali imetokea. lakini licha ya hayo bado kero ya umeme imezidi kushamiri na mfano mzuri nitukio la kukatika umeme pale karemjee wakati wakimuaga ndugu Lowasa.

Serikali ya CCM ilituahidi kuwa kero ya umeme itaisha kuanzia tarehe 16-02-2024 ''YAANI KESHO'' ambapo tunatarajia mradi mkubwa wa kufua umeme wa maji stiglers HEP au nyerere hydropower kuwashwa. na tunagemea ikishawashwa basi kero ya kukatika umeme itaisha, licha ya kuambiwa kuwa gesi yetu ya mtwara imepungua sasa sijui ndo inaisha.

kwahiyo hatutakubali kauli yoyote kutoka kwa serikali kuhusu kuwasha stiglers, maana sioni shamra shamra zozote zinazoendelea kuelekea kwenye tukio hilo muhimu. kumukuwa kimya, au ni dalili ya kusema kuwa tuna msiba na umeme wa bwawa la stiglers tutawasha april.
Ukiona unaamini ahadi za Tanesco hiyo ni dalili tosha kuwa wewe ni punguani.
 
Kuamini tatizo la umeme litaisha ni ugonjwa pia.

Back
Top Bottom