Tunasubiri 16.2.2024, Kero umeme kuisha, stiglers inawashwa

Usiku wa deniView attachment 2905038

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ni kesho, wasipoleta naungana na Chadema kwenye maandamano kukatika kwa umeme ni kero kubwa
 

Tusiandike uongo. Mama Samia aliwapa watendaji miezi sita kuanzia oktoba liwe limeisha.

Kuwashwa steigler pekee hakumaanishi kumemaliza tatizo.
 
Subiri kidogo hadi June, vumilia
 


Tatizo litapunguwa lakini umeme bado hautoshi kama treni nayo ikianza kazi
 
Nimekaa pale....
 
Tusiandike uongo. Mama Samia aliwapa watendaji miezi sita kuanzia oktoba liwe limeisha.

Kuwashwa steigler pekee hakumaanishi kumemaliza tatizo.
Haliishi hata mwezi ujao hiyo miezi sita itakapofika.
 
Ukiona unaamini ahadi za Tanesco hiyo ni dalili tosha kuwa wewe ni punguani.
 
Kuamini tatizo la umeme litaisha ni ugonjwa pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…