Tunasubiri 16.2.2024, Kero umeme kuisha, stiglers inawashwa

Ahadi nyingi zipo kiswahili Swahili ndio maana watu wamepoteza imani .
Angekuwa Magu tayari alishakata umeme kwa waziri na manager mhusika, na kusema na wewe uonje adhaa ya kutokuwa na umeme.
 
Your browser is not able to display this video.

Hata kama umeme utafunguliwa Bwawa la Mwalimu Julius Nyerer litafanya kazi kukatika kw aumem bado kuta endelea kwa Sababu Tanesko wanakula sahani moja na wauza Majenereta
 
Una uhakika usemayo siyo utani wa "April fool's day"?!
😂😂😂😂😂
 
Labda June pengine!
 
Wamekata Mbezi Beach hadi Jioni, na kesho wanakata hadi jioni
 
Dude limejaa matope kabla hata kazi haijaanza, huko ni mauzauza tu. Angekuwepo JPM watu wangepigwa risasi aisee.
TANESCO mnasikia lakini angekuepo mngechezea ngumi km yule aliejichanganya kwenye msafara wa EL
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…