Tunasubiri Iran iifute Israel kwenye uso wa dunia kama ilivyo ahidi

Tunasubiri Iran iifute Israel kwenye uso wa dunia kama ilivyo ahidi

Loading failed

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2023
Posts
3,003
Reaction score
8,385
Kwa style hii bado tunasubiri iran iifute Israel kwenye uso wa dunia kama ilivyo ahidi chini ya kiongozi wao mkuu wa kidini ayatolah al kamenei.

Viongozi wa kuu wa kijeshi na wanasayansi wakuu wa nyuklia na teknolojia ya maswala ya silaha na ulinzi wa anga huko iran mpaka sasa wamesha uwawa 16.

Wakazi waliouawa iran ni 224 na hii ni kwa ujinga wao kwa sababu hawataki kuondoka jirani na maeneo ya kijeshi, wanatumika kama ngao sasa acha wageuzwe mishikaki

Huku irani ikijeruhi raia 93 wa israeli na kuua raia 10 wasio na hatia yeyote kutokana na wanarusha makombora hovyo hovyo kwenye makazi ya watu huko telaviv wakisaidiana na iraq, lebanon, syria , yemeni na wanamgambo wa hamas -gaza.

Turejee kidogo hapa


#LIVE: Iran launches new attacks on Israel; 3 killed, dozens wounded:
Iran launches a new wave of attacks on Israel, killing at least three people in Tel Aviv and hitting the port city of Haifa, hours after the Israeli military bombed the Iranian capital, Tehran.
The death toll in Iran has risen to 224. The intelligence chief of Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) and two other generals were killed in Israeli attacks on Sunday.
How protected are Israelis from air attacks?
We have more from Gideon Levy, the Israeli journalist at the Haaretz newspaper.
He told Al Jazeera that most Israelis are “very well protected” from air attacks.
“First of all, the alarm system is extremely well-functioning. This time, we get alarms much before the siren. We can prepare ourselves. In most parts of Tel Aviv, for example, there are many shelters. All the new buildings have their own shelters and safe homes. So, from this point of view, you have the feeling that the population is protected.”

Reuters and AP news agencies are reporting that Trump vetoed an Israeli plan to kill Iranian Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei.
LIVE: Iran launches new attacks on Israel; 3 killed, dozens wounded:
  • Iran launches a new wave of attacks on Israel, killing at least three people in Tel Aviv and hitting the port city of Haifa, hours after the Israeli military bombed the Iranian capital, Tehran.
  • The death toll in Iran has risen to 224. The intelligence chief of Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) and two other generals were killed in Israeli attacks on Sunday

Ngoja tuone itakuaje ....
 
hata akifa ayatollah hii vita itaendelea kupigwa kwa kiwango kikubwa mpk lengo litimie,tena wakimuua huyo mzee ndo wa IRAN watapanda mori mara mia zaidi ya mmasai
 
hata akifa ayatollah hii vita itaendelea kupigwa kwa kiwango kikubwa mpk lengo litimie,tena wakimuua huyo mzee ndo wa IRAN watapanda mori mara mia zaidi ya mmasai
Wanawake wa iran na wanaume wanaojielewa hawamtaki ayatollah kutokana na sheria zake za hovyo za kudhulumu uhai wa waislam wenzake kwenye kivuli cha dini.

Ayatollah akiuwawa iran itakua taifa huru
 
Ballistic missiles zilizopo mji wa Tehran zimeisha wameanza kuagiza kutoka kwenye miji mingine na bahari mzuri Leo Israel wameanza kulipua malori yote yanayobeba makombora kuingia Tehran....Iran hawezi kubishana na westerners hata siku moja mwisho wa hii vita ni kuanguka Kwa utawala wa ayatollah
 
Una elimu gani kwenye masuala ya utawala? Unajua maana ya regime change?akifa Ayatollah imeisha hiyo
 
Leo we tega sikio na macho weka kwenye screen uone maya ya kwanza kwenye history Missiles na Drones zitakavyo shaka haijawahi kutokea.

Yamebaki masaa machache tu.

Kuhusu kufutwa kwa Israel mwambie USA na UK. France, Serbia. Italy. Germany. I dua wawache kumsaidia uone kama atabaki hapo.

Hapo wamuwache Iran na Israel tu Iran ataifuta si utani
 
Ballistic missiles zilizopo mji wa Tehran zimeisha wameanza kuagiza kutoka kwenye miji mingine na bahari mzuri Leo Israel wameanza kulipua malori yote yanayobeba makombora kuingia Tehran....Iran hawezi kubishana na westerners hata siku moja mwisho wa hii vita ni kuanguka Kwa utawala wa ayatollah
Wewe endelea kujidangan'ya leo wewe tazama history atakayo weka Iran anawambia tazameni vipi Missiles na Drones zinavyo piga haijawahi kutokea kwenye history.

Nyie imbeni nyimbo za israel maneno mengi yote kuwapoza watu wake kule wasubiri sababu kipigo anacho kitoa Iran kimewachangan'ya

Afu Iran anasema hata israel akisimamisha vita wao hawasimamishi hahaha ni balaa aisay
 
Leo we tega sikio na macho weka kwenye screen uone maya ya kwanza kwenye history Missiles na Drones zitakavyo shaka haijawahi kutokea.

Yamebaki masaa machache tu.

Kuhusu kufutwa kwa Israel mwambie USA na UK. France, Serbia. Italy. Germany. I dua wawache kumsaidia uone kama atabaki hapo.

Hapo wamuwache Iran na Israel tu Iran ataifuta si utani
Ukumbuke mmoja kati yao ana Nuclear war heads
 
Leo we tega sikio na macho weka kwenye screen uone maya ya kwanza kwenye history Missiles na Drones zitakavyo shaka haijawahi kutokea.

Yamebaki masaa machache tu.

Kuhusu kufutwa kwa Israel mwambie USA na UK. France, Serbia. Italy. Germany. I dua wawache kumsaidia uone kama atabaki hapo.

Hapo wamuwache Iran na Israel tu Iran ataifuta si utani
Vita sio sawa na mchezo wa kuigiza, hakuna nchi haitaki kupewa msaada linapokuja suala la kutetea uhai wake. Hata Marekani akitaka kuipiga Tanzania atatafuta wa kwenda naye.
Uwezo wa nchi ni pamoja na support anayopata kutoka nje. Kama unajua unayepambana naye ana back up ya mataifa makubwa basi ama uache au ujipange kupambana na hao wote na hakuna atakayekuhurumia.
 
Ni suala la muda tu Israel kwa intelijensia yake asingeweza kuanzisha misheni asiyoweza kuimaliza
 
Back
Top Bottom