ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Bwana Lissu almaarufu kibaraka kwenye Kampeni zake ukiachilia mbali kuchafua wagombea wenzake pamoja na Rais ila mojawapo ya ajenda yake kuu aliyowapigia fix Wajumbe wa Chadema ni kwamba kama hakuna Katiba Mpya na Tume Huru hakutakuwa na uchaguzi Mkuu mwaka huu wa 2025.
Sasa sisi Wajumbe tuliompa kura tunasubiria Kwa hamu.kubwa kuona kama atasimama kama.mgombea Urais Kwa Katiba hii hij na Tume hii hii au atatumiza ahadi yake ya kuvuruga uchaguzi?
View: https://www.instagram.com/p/DFIFCE1Cxfq/?igsh=MWJ0eGpvYmE5cGxzMw==
Tuko palee tunasubiria Kwa hamu na gamu .Waweza soma zaidi hapa Pre GE2025 - LGE2024 - Tundu Lissu: CHADEMA tutazuia Uchaguzi wa mwaka 2025 kama hakutakuwa na mabadiliko kimfumo
View: https://www.instagram.com/p/DFHlY86RWrU/?igsh=MTZhcXk3N3F0NmpuNA==
Pia soma zaidi hapa Viongozi Wapya wa Chadema Mtakaochaguliwa Tunawasihi Msusie Uchaguzi Muone kama Nchi Itasimama Kisa Kususa kwenu.
View: https://www.instagram.com/p/DFMpLBci7O1/?igsh=MXhqd2V3eHBuNXQxYQ==