Tunasubiria Kuona Utekelezaji wa "No reform, No Election" ya Tundu Lissu

Uchaguzi Mimi unanisaidia nini?

..very interesting comment.

..uchaguzi unatakiwa utusaidie kuweka viongozi bora watuongoze.

..uchaguzi wa wazi, unaosimamiwa na Tume Huru, ndio njia ya uhakika zaidi, na ya amani, ktk kuweka na kuwaondoa viongozi madarakani.

..kinyume na hapo tutakuwa tunabahatisha tu, na tumeweka amani na maendeleo yetu rehani.

..kuna siku wananchi wataichoka Ccm. Sasa ni vizuri wakati huo wakute kuna tume huru, na chama mbadala. Vinginevyo tunaweza kudumbukia ktk korongo kama walilotumbukia Libya.
 
Viongozi wapo tayari
 
Wengine kwa nini wanaweza nasi tushindwe kwa nini?

Their is a reason mkuu CCM wanatawala zaidi ya miaka 60. Watz by default niwaog na wanafiki, Hakuna mabadiliko bila ya umma kwa ujumla kuwa tayari kwa maana ya tayari, na sio key board warriors
 
Jee unawajua raia wa Liberia walivyokuwa kuanzia Rais Wiliam Tolbet kurudi nyuma? Au wale wa Ivory Coast hadi kwa Rais Felix Houphouet-Boigny walivyoishi?
Wale jamaa walizidi uzombii kuliko tulivyo sisi mara 10. Kila kitu walikuwa wanapelekeshwa hadi ghafla walipochoka na kufanya waliyofanya na kupelekea viongozi kulimwa Shaba.
Kuanzia hapo waliamka na hawajalala tena
 
Back
Top Bottom