ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #141
Demokrasia na Nidhamu ya CCM haiwezi linganishwa na Vyama vya waganga njaa,kumbuka CCM ndio wenye Dola.Kunguni wa mama Abdul na wahuni wengine wa Lumumba baada ya kumpigia upatu Mbowe na kuangukia pua sasa mmeanza utabiri uchwara.
Pambanieni demokrasia kwenye chama lenu la manyang'au ambapo mnasombwa kwenda Dodoma mnalipiwa chakula na malazi halafu mtu mmoja anajiteua kugombea urais kwa kuchapa form 1.
Mjaribu walau kufanya kura za wazi kama hivyo walivyofanya Chadema mtu anashindwa live kwenye sanduku la kura ndio mnaweza kuishauri Chadema kuhusu uchaguzi.
Tunasubiria utekelezaji wa ahadi.