Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Bwana Lisu alimaarufu kibaraka kwenye Kampeni zake ukiachilia mbali kuchafua wagombea wenzake pamoja na Rais ila mojawapo ya ajenda yake kuu aliyowapigia fix Wajumbe wa Chadema ni kwamba kama hakuna Katiba Mpya hakitakuwa na uchaguzi Mkuu mwaka huu wa 2025.
Sasa sisi Wajumbe tuliompa kura tunasubiria Kwa hamu.kubwa kuona kama atasimama kama.mgombea Urais Kwa Katiba hii hij na Tume hii hii au atatumiza ahadi yake ya kuvuruga uchaguzi?
Tuko palee tunasubiria Kwa hamu na gamu
View: https://www.instagram.com/p/DFHlY86RWrU/?igsh=MTZhcXk3N3F0NmpuNA==
Hamlali hampoi😊😂😂 plan A imefeli pumzikeni kidogo