Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ipoNdio mkuu kwani Kuna shida?
Ipi hiyo?Shida ipo
😅😅😅😅 Picture naenda post jukwaa la pictureUongo leta namba na picha nione,
Ndio jukwaa gani? Weka Lile jukwaa la mademu wa kali😅😅😅😅 Picture naenda post jukwaa la picture
Mwaka nakata kadi ya CCM bila shaka hujazaliwa. Napenda haki nikiwa mwana ccm.Mbona wewe unawachukia CCM? Kunakupa nafuu ya maisha?
Hoja ni atimize ahadi Ili asionekane tapeli.
Unadhani CCM kuna Haki? Na ni Kiongozi gani wa CCM ambae alikanyaga sana Haki za Wapinzani?Mwaka nakata kadi ya CCM bila shaka hujazaliwa. Napenda haki nikiwa mwana ccm.
Maumivu ya nini? Mimi ni James Mbowe?Pole kwa maumivu
Maumivu ya nini? Mimi ni James Mbowe?
Bwana Lisu alimaarufu kibaraka kwenye Kampeni zake ukiachilia mbali kuchafua wagombea wenzake pamoja na Rais ila mojawapo ya ajenda yake kuu aliyowapigia fix Wajumbe wa Chadema ni kwamba kama hakuna Katiba Mpya na Tume Huru hakutakuwa na uchaguzi Mkuu mwaka huu wa 2025.
Sasa sisi Wajumbe tuliompa kura tunasubiria Kwa hamu.kubwa kuona kama atasimama kama.mgombea Urais Kwa Katiba hii hij na Tume hii hii au atatumiza ahadi yake ya kuvuruga uchaguzi?
Tuko palee tunasubiria Kwa hamu na gamu
View: https://www.instagram.com/p/DFHlY86RWrU/?igsh=MTZhcXk3N3F0NmpuNA==
Usi generalize,, kila mtu huchagua namna ya maisha yake, ili mradi usimkosee MUNGU Wala binadamu mwenzio. Kwamba ccm kuna au hakuna haki ni jambo lingine.Unadhani CCM kuna Haki? Na ni Kiongozi gani wa CCM ambae alikanyaga sana Haki za Wapinzani?
Na huko Chadomo wewe wamekuona?# Uchawa na Ujinga tu unakusumbua wewe kwenye vitu vyenye masilahi ya nchi na utawala Bora ni aibu kijana kujitoa akili
#Hawakuoni na Wala hata mwenyekiti wa Tarafa hawatakupa hakuna uteuzi#CCM inawenywe wewe utazeeka na mapambio tu mtandaoni kama mwenzio.
Conceal your ignorance
Wewe si ndio umesema mwana ccm unapenda Haki? Huko ccm kuna Haki?Usi generalize,, kila mtu huchagua namna ya maisha yake, ili mradi usimkosee MUNGU Wala binadamu mwenzio. Kwamba ccm kuna au hakuna haki ni jambo lingine.
We ni Mmoja wa vijana wapumbavu jamii forum, sasa hapo una Elimu na usingekuwa na Elimu ungekuwaje? Vijana tuache kuwa wasenge wasenge ,tusimamie ukweli na masilahi ya nchi ,tuache uchama kwenye National issues & common interests (Vipaumbele vya nchi)Na huko Chadomo wewe wamekuona?
Nani wanatekeleza maslahi ya Nchi na wakina nani wanatekeleza maslahi ya nyumbu?.
Mwisho sihitaji kuonwa kwani hata Sasa wewe ndio unanilisha?
Ipo.Wewe si ndio umesema mwana ccm unapenda Haki? Huko ccm kuna Haki?
Unahamisha sana magoli Babu kunywa hata maji kwanza.We ni Mmoja wa vijana wapumbavu jamii forum, sasa hapo una Elimu na usingekuwa na Elimu ungekuwaje? Vijana tuache kuwa wasenge wasenge ,tusimamie ukweli na masilahi ya nchi ,tuache uchama kwenye National issues & common interests (Vipaumbele vya nchi)
Tunajenga taifa la ajabu sana , watu tusio simamia ukweli kisa tu njaa na tamaa za uteuzi tumekuwa watu wakusifia Kila kitu kisa tu ni mwanachama wa chama Fulani, tuwe objective kumsaidia hii nchi.
Nadhani wenye akili waanza ku ignore post zako
U will not go anywhere ,
Una mavi kichwani nini!Unahamisha sana magoli Babu kunywa hata maji kwanza.
Kuna mahala nimekwambia I want to go somewhere?
Duniani Kuna ukweli? Sio kila ukweli utausema sio Kila ulichoona ukiseme na sio Kila ulichosikoa ukiseme itakuja kuku cost.
Duniani Kuna fairness hakuna ukweli hata hiyo unaedai ni mkweli humjui ila umebebeshwa ujinga tuu.
Mwisho wewe Kwa akili zako Tundu Lisu atasimamia alichowajaza kichwani?
Rubbish 🚮🚮,hao uliowataja ilikuwa awamu ya Ukoloni na utumwa.Una mavi kichwani nini!
Malcolm x,Martin Luther walisimamia ukweli Ili wacost lakini Leo America sio Ile ya Mzungu akipanda gari mtu mweusi lazima asimame mzungu akae,
Swala la katiba mpya na tume huru ya uchaguzi especially kwenye nchi unayo jinadi ya kidemokrasia si mashili ya Chadema ni Kwa watanzania wote ukiwa na Sheria mbovu wote watanzania tunaumia ndo mana naona una Mavi kichwani
Badala ya kugombana kwa matusi tungejibu maswali haya. 1.Ajira kwa wahitimu. 2. Miundombinu mibovu ya barabara na madaraja. 3. Bima ya afya kwa kila Mtanzania. 4. Mikopo elimu ya juu. 5. Uporaji wa rasilimali zetu. 6. Mikataba mibovu katika uwekezaji. 7. Upatikanaji wa maji nchini.Rubbish 🚮🚮,hao uliowataja ilikuwa awamu ya Ukoloni na utumwa.
Kuna Ukoloni na utumwa saizi? Huna sera za kuleta maisha Bora wewe ni pumbavu tuu.
Chadomo huko zaidi ya kushangilia sura Kuna sera zipo za kustawisha maisha ya watu unazijua wewe nyumbu?
Katiba Mpya has nothing to do with maisha ya watu na sio kitu Cha muhimu Kwa watu ila nyie matapeli wa siasa.
Wewe nyumbu huna hoja si ndio mda wote unaropoka matusi hapa?Badala ya kugombana kwa matusi tungejibu maswali haya. 1.Ajira kwa wahitimu. 2. Miundombinu mibovu ya barabara na madaraja. 3. Bima ya afya kwa kila Mtanzania. 4. Mikopo elimu ya juu. 5. Uporaji wa rasilimali zetu. 6. Mikataba mibovu katika uwekezaji. 7. Upatikanaji wa maji nchini.