Tunasubiria Kuona Utekelezaji wa "No reform, No Election" ya Tundu Lissu

Uchaguzi tutashiriki na katiba hii hii, CCM ikishatoka tutaibadirisha iendane na Matakwa ya wananchi lakini tutahakikisha vipengere vinavyosiginwa vyote vinafuatwa.

Tutaondoa kile kipengele chakutoshitaki wastaafu, ili tuwaburuze wote mahakamani kujibu fyongo zote walizofanya wakiwa viongozi.

Mmezoea kula damu ndio maana mnataka muanze kutafuta sababu za kuumiza watu, uchaguzi huu utasimamiwa na wananchi wenyewe, tutakesha makanisani na misikitini kuwalaani woote wenye nia ovu.
 
Wajumbe wameingizwa Cha kike 😆😆
 
Bunge linavunjwa mwezi wa saba, hakuna muda wa kubadili katiba katika kipengele cha uchaguzi.

Sasa tuone kama watagoma kushiriki, ni haki yao, ila wasiingilie haki ya wengine kupiga kura
Mwasi Kitoko uoga wa nini mnajua 1v1 hamtoboi ndio mnatengeneza figisu figisu km kawaida yenu ya kupitishana uongozi, kuvunja katiba ya chama na kuja na azimio la mchongo
 
Katika wanasiasa waongo kwa sasa Tanzania Lisu anaongoza

Atabadili gia angani
 
Kuna chama Cha kuzuia CCM isitoboe kweli hapa Bongo? Sema mtaleta amsha amsha tuu nothing else
 
Mimi siwezi kula demu ambae najua Fulani anae labda nisijue hapo sawa.

Kwa hiyo Yuko wapi Kwa Sasa huyo demu wenu Ili niunge dot.
😅😅😅😅 Mkuu si nimechanganya madesa .. nimekubali.. yaishie hapo .. kalikuwa kademu flani Tabora kwenye project ya REA kule
 
Katika wanasiasa waongo kwa sasa Tanzania Lisu anaongoza

Atabadili gia angani
Mimi alichonisikitisha ni kuchafua Mbowe na Rais na watu wakamuamini ili apite.

Hizo ni tabia ambazo hazikuzoeleweka Chadema.
 
😅😅😅😅 Mkuu si nimechanganya madesa .. nimekubali.. yaishie hapo .. kalikuwa kademu flani Tabora kwenye project ya REA kule
Nimewahi kuwa na demu huko ila ni mda ndio nataka nijue maana Kwa Sasa Yuko Dar japo Sina mawasiliano nae.
 
Bwana Lisu alimaarufu kibaraka kwenye Kampeni zake ukiachilia mbali kuchafua wagombea wenzake pamoja na Rais ila mojawapo ya ajenda yake kuu aliyowapigia fix Wajumbe wa Chadema ni kwamba kama hakuna Katiba Mpya na Tume Huru hakutakuwa na uchaguzi Mkuu mwaka huu wa 2025.

Sasa sisi Wajumbe tuliompa kura tunasubiria Kwa hamu.kubwa kuona kama atasimama kama.mgombea Urais Kwa Katiba hii hij na Tume hii hii au atatumiza ahadi yake ya kuvuruga uchaguzi?

Tuko palee tunasubiria Kwa hamu na gamu

View: https://www.instagram.com/p/DFHlY86RWrU/?igsh=MTZhcXk3N3F0NmpuNA==

Hangaika na maisha yako. Hujampigia kura Lissu, hata kadi huna. Kumchukia mtu hakukupi nafuu ya maisha.
 
Mbona wewe unawachukia CCM? Kunakupa nafuu ya maisha?

Hoja ni atimize ahadi Ili asionekane tapeli.
 
Hakuna kususia uchaguzi, safari mambo ni tofauti moto ni mkali. Timu itaingia uchaguzini kwa katiba hii hii then ije katiba mpya
 
Back
Top Bottom