ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #161
Uchaguzi Mimi unanisaidia nini?..tukiweka ushabiki na chuki pembeni Watanzania tunahitaji Tume Huru ya uchaguzi, na mabadiliko makubwa ktk uendeshaji wa chaguzi zetu.
Uchaguzi Mimi unanisaidia nini?
Viongozi wapo tayari..very interesting comment.
..uchaguzi unatakiwa utusaidie kuweka viongozi bora watuongoze.
..uchaguzi wa wazi, unaosimamiwa na Tume Huru, ndio njia ya uhakika zaidi, na ya amani, ktk kuweka na kuwaondoa viongozi madarakani.
..kinyume na hapo tutakuwa tunabahatisha tu, na tumeweka amani na maendeleo yetu rehani.
..kuna siku wananchi wataichoka Ccm. Sasa ni vizuri wakati huo wakute kuna tume huru, na chama mbadala. Vinginevyo tunaweza kudumbukia ktk korongo kama walilotumbukia Libya.
Viongozi wapo tayari
Wengine kwa nini wanaweza nasi tushindwe kwa nini?
Jee unawajua raia wa Liberia walivyokuwa kuanzia Rais Wiliam Tolbet kurudi nyuma? Au wale wa Ivory Coast hadi kwa Rais Felix Houphouet-Boigny walivyoishi?Their is a reason mkuu CCM wanatawala zaidi ya miaka 60. Watz by default niwaog na wanafiki, Hakuna mabadiliko bila ya umma kwa ujumla kuwa tayari kwa maana ya tayari, na sio key board warriors