Tunataifisha mpaka viti na meza za CCM - 2025 ushindi lazima uende kwa Upinzani

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
wananchi walio wengi wanatamani kuiona CCM ikiwa imepoteza madaraka ,maana ni shangwe na furaha kwa nchi nzima watoto na vijana wazee na yaani CCM tumeichoka kuliko mahelezo,waende tu.Na nina hakika watakaoingia madarakani watataifisha mali zote za CCM hakibaki kiti wala meza.
 
Maskini wewe

USSR
 
Unawapanikisha hao majizi watakuwa mbogo
 
Ccm ni majambaz, hawatakiwi na wafanyakazi. Ccm wameondoa FAO LA KUJITOA

Wabunge wa Ccm wamepandisha tozo na Bei ya mbolea, uonevu kwa wakulima
 
Mkuu CCM ni chama kubwa ..... Hatuwez shindwa kirahisi
Endelea kujidanganya , kama imewezekana pemba kuwaondoa mpaka vimelea,huko kunakozidi shida na makelele ya vilio kutashindwaje ? Nina uhakika wa asilimia 85 CCM inapoteza nchi hata mfanye kitu gani,kila nikipima waliobaki ni wabunge tu ndugai wao.nina hakika ni msiba mkubwa kwa CCM ,na mkitegemea polisi itatubidi tutegemee majeshi ilivyokuwa ni Jeshi la wananchi inamaana sisi sote tumo na tunaanza kushiriki kuwaondoa kupitia sanduku la kura.
 
Back
Top Bottom