Maskini wewewananchi walio wengi wanatamani kuiona CCM ikiwa imepoteza madaraka ,maana ni shangwe na furaha kwa nchi nzima watoto na vijana wazee na yaani CCM tumeichoka kuliko mahelezo,waende tu.Na nina hakika watakaoingia madarakani watataifisha mali zote za CCM hakibaki kiti wala meza.
Unawapanikisha hao majizi watakuwa mbogowananchi walio wengi wanatamani kuiona CCM ikiwa imepoteza madaraka ,maana ni shangwe na furaha kwa nchi nzima watoto na vijana wazee na yaani CCM tumeichoka kuliko mahelezo,waende tu.Na nina hakika watakaoingia madarakani watataifisha mali zote za CCM hakibaki kiti wala meza.
Maskini unamlishaga weweMaskini wewe
USSR
Kama dada yake ameridhia hakuna shida .Anaishi kwa dadake
USSR
Endelea kujidanganya , kama imewezekana pemba kuwaondoa mpaka vimelea,huko kunakozidi shida na makelele ya vilio kutashindwaje ? Nina uhakika wa asilimia 85 CCM inapoteza nchi hata mfanye kitu gani,kila nikipima waliobaki ni wabunge tu ndugai wao.nina hakika ni msiba mkubwa kwa CCM ,na mkitegemea polisi itatubidi tutegemee majeshi ilivyokuwa ni Jeshi la wananchi inamaana sisi sote tumo na tunaanza kushiriki kuwaondoa kupitia sanduku la kura.Mkuu CCM ni chama kubwa ..... Hatuwez shindwa kirahisi