voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
CCM ni tatizo!
Kuna tetesi kwamba ile ndege haijazuiwa kama tunavyosikia.Bali ni mpango mahsusi uliopangwa na unaendelea kimkakati kutaka kuiuza.
Na si hiyo tu,bali kuna vigogo wamejipanga kuziuza ndege baadhi ambazo zilinunuliwa na serikali ya awamu ya Tano..kwa kugezo kwamba zinafanya kazi kwa hasara.
Tunasikia na kutonywa kwamba,tayari kuna makampuni makubwa yameanza kufanya mikakati ya kutaka kuinunua ndege ile. Na tayari maombi yametumwa.
Tumeambiwa kwamba yule mzungu wa mashamba ya miwa,ambayo alishindwa kuyaendeleza na hivyo akapokwa kisheria.
Na taratibu zote zilifuatwa,na hatimae ndio akapewa Bakhressa. Hakuwa na nia yoyote ya kesi,bali mkakati huo amepelekewa toka hapahapa.
Tunatonywa kwamba kuna watanzania ambao walikwenda na kunshawishi upya ili afungue kesi ile ili upatikane upenyo wa kuiondoa nchini.
Na hili linapewa nguvu na ukweli kwamba. Hapo awali tuliambiwa ndege ile ilikuwa pale,sababu ya matatizo ya kiufundi,bayo yanazikumba ndege za model ile.
Baadae ndio tunaletewa story za mzungu wa kesi ya mashamba.
Serikali imekaa kimya, kama vile hakuna mali yetu iko nje ya nchi bila uchungu.
Sio msemaji wa serikali, wala waziri wa mawasiliano,au hata Rais na waziri mkuu mwenyewe.
Tokeni watetezi wa mama mtuambie ukweli.
Ile ndege ikiuzwa kimizengwe...ndio itaondoka na utawala wa CCM.
Hatutapoa.
Tukatae wahuni.
Alamsikhi.
10101.