voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
- Thread starter
- #21
Wewe sio serikali,mimi nimeitaka serikali ije ituambie kinachoendelea.N
Acha uongo.
Yoote haya ni matokeo ya ubabe wa Mwendazake kujichulia sheria mikononi.
Wawekezaji wakija nchini wanajihami kisheria na kujikinga kimikata dhidi ya mambo kama kunyang'anywa maeneo mliyoingia nayo mikataba inayotambulika kimatsifa.
Jiulize suala la ACCACIA liliisha vipi?
Suala la kufukuzwa na Magufulimkandarasi Frderucci aliyejenga barabara ya Bagamoyo/Bunju limeishia wapi?
Suala la kuwafukuza kina Manji Quality Plaza limeishia wapi?
Suala la kukatiza mkataba na deni la kampuni ya Konoike limeishia wapi?
Ubabe mwingi kuliko akili ndiyo yametufikisha hapa tulipo, na pesa inatutokea puani.
Ile ndege sio tako la mkeo,ni jasho letu walipa kodi.
Full stop.