Tunataka ukweli kuhusu ndege yetu Uholanzi

Tunataka ukweli kuhusu ndege yetu Uholanzi

Umenielewa?, sikusema zote ziuzwe nimesema hizo kubwa mbili, hizi bombadia zisiuzwe kwani hizi ndizo saizi yetu.
Ziuzwe zote tu maana jiwe alijiamulia kutumia fedha za walipa kodi kwa jeuri tu
 
Nchi hii ina chawa wengi katika Jamii forum, kuweni wazalendo na nchi hii sio Kila kitu kutetea.
Kumbuka unajadiliana na watu wenye upeo mkubwa wenye utambuzi na ustadi mkubwa, huwa tunanyoosha mstari na siyo chawa,hayo mandege makubwa ni mzigo kwa taifa.
 
Ndege ni za Magufuli, kwakuwa mwenyewe kafa acha ziuzwe tu. Tena ziuzwe kwa bei ya hasara maana zilikuwa zinanunuliwa kwa sifa bila wananchi kuridhia.
Kwa uuzwaji huo unafikiri nini

Mzungu hakuwa na mpango lakini amefufuliwa maana yake ana fungu lake hapo
Na kwa maana hiyo ndege ikiuzwa kama wahusika wa hilo dili wako sita au saba mzigo huo unapigwa karata na maisha yanaendelea kama hakijatokea
 
Ndege ni za Magufuli, kwakuwa mwenyewe kafa acha ziuzwe tu. Tena ziuzwe kwa bei ya hasara maana zilikuwa zinanunuliwa kwa sifa bila wananchi kuridhia.
Acha upumbavu na ushabiki wa kisenge, coment kama hii hauwezi ukapost mbele ya watoto wako maana wataona wana mzazi mjinga,kwani hizi ndege magufuli alinunua kwa hela zake mfukoni,hivi nyie chawa wa rais mnatumia makalio kufikiria!?
 
Kwa sababu wewe unaishi kwa uchungu,endelea hivyo.

Ila zikiuzwa mjuwe na mama yenu bye bye!

Anayewapa vyombo vya dola amri nchi hii huyo anaweza kufanya lolote na kusitokee chochote.
 
Acha upumbavu na ushabiki wa kisenge, coment kama hii hauwezi ukapost mbele ya watoto wako maana wataona wana mzazi mjinga,kwani hizi ndege magufuli alinunua kwa hela zake mfukoni,hivi nyie chawa wa rais mnatumia makalio kufikiria!?

Mlipokuwa mkiita ndege za Magufuli mlitarajia ziwe zetu? Makhanithi wakubwa.
 
Acha uongo.
Yoote haya ni matokeo ya ubabe wa Mwendazake kujichukulia sheria mikononi.
Wawekezaji wakija nchini wanajihami kisheria na kujikinga kimikataba dhidi ya mambo kama kunyang'anywa maeneo mliyoingia nayo mikataba inayotambulika kimataifa.

Jiulize suala la ACCACIA liliisha vipi?

Suala la kufukuzwa na Magufuli mkandarasi Federecci aliyejenga barabara ya Bagamoyo/Bunju limeishia wapi?

Suala la kuwafukuza kina Manji Quality Plaza limeishia wapi?

Suala la kukatiza mkataba na deni la kampuni ya Konoike limeishia wapi?

Ubabe mwingi kuliko akili ndiyo yametufikisha hapa tulipo, na pesa inatutokea puani.
Hii nayo ni mada mpya ya kusema tetesi ni uongo bila kuonyesha ukweli ulipo
 
Achaa ujinga wako,hizo Ndege ni Mali ya Umma na si za Magufuli, alafu punguza chuki kwa Marehemu!!

Mlipoita ni ndege za Magufuli mlitarajia nini? Iuzwe haraka sana kuliko kuendelea kututia hasara.
 
HIZI NDEGE KWA TAIFA KAMA TANZANIA HAZINA FAIDA YOYOTE, BALI KUIPA TU SEREKALI MZIGO WA UTUNZAJI, ENDAPO KAMA HATA WAKIAMUA KUZIUZA ZOTE HIZO KUBWA HAKUNA UBAYA WOWOTE, TANZANIA ILIHITAJI ZAIDI CARGO PLANE KULIKO HAYO MADUBWASHA YASIYO NA ROUTE NA YENYE GHARAMA KUBWA KIUTUNZAJI.
WAKIWEZA HAYO MAWILI MAKUBWA WAYAUZE YOTE, TUPATE CARGO PLANE MOJA,TUSAFIRISHE MAZAO YETU NJE, SIONI FAIDA YA KUYAHIFADHI MADUDE AMBAYO KUPATA ROUTE NA KUJENGA CONFIDENCE KWA CUSTOMERS NI SHUGHULI AMBAYO HUCHUKUWA MIAKA 30 ALMOST.
Huu ni ushaurii kwa Serikali k.m mmiliki wa wandege , ila ungekaa kwa wao kubadili ziwe za mzigo ungependeza, japo ingependeza. zaidi k.m ungelinganisha mapato ya abiria na mizigo
 
Hizi ndege zingeuzwa tu, zimekuwa liability badala ya assets.
 
Acha njozi chafu, bye bye kwa vipi? Wakati tayari tumeshapiga kura 2025,na ameshinda kwa 99.9%,pia atakuwa ameiokoa serekali kutokana na hasara,
I crocodiletooth support the program of selling this useless items ( if possible) which cost our government and uses taxpayers money's in safeguarding!, Jokes [emoji11][emoji11]
Wakati ukijaza Tope kichwani,wenye Ubongo pia wapo kazini.
Zile ndege sio sawa na tako la mkeo,bali ni jasho letu walipa kodi.
 
Hii nayo ni mada mpya ya kusema tetesi ni uongo bila kuonyesha ukweli ulipo
Tunataka serikali ije ituondolee tetesi na sio kuendelea kukaa kimya,sawa na ule ukimya wa ile ndrge kubwa pale KIA ambayo hatimae imesepa na wanyama wetu 250 wa thamani kubwa.
 
Wakati ukijaza Tope kichwani,wenye Ubongo pia wapo kazini.
Zile ndege sio sawa na tako la mkeo,bali ni jasho letu walipa kodi.
Isije ikiwa wewe ndiyo mkwepa kodi mkubwa au hulipagi kabisaaa.
 
CCM ni tatizo!

Kuna tetesi kwamba ile ndege haijazuiwa kama tunavyosikia.Bali ni mpango mahsusi uliopangwa na unaendelea kimkakati kutaka kuiuza.

Na si hiyo tu,bali kuna vigogo wamejipanga kuziuza ndege baadhi ambazo zilinunuliwa na serikali ya awamu ya Tano..kwa kugezo kwamba zinafanya kazi kwa hasara.

Tunasikia na kutonywa kwamba,tayari kuna makampuni makubwa yameanza kufanya mikakati ya kutaka kuinunua ndege ile. Na tayari maombi yametumwa.

Tumeambiwa kwamba yule mzungu wa mashamba ya miwa,ambayo alishindwa kuyaendeleza na hivyo akapokwa kisheria.

Na taratibu zote zilifuatwa,na hatimae ndio akapewa Bakhressa. Hakuwa na nia yoyote ya kesi,bali mkakati huo amepelekewa toka hapahapa.

Tunatonywa kwamba kuna watanzania ambao walikwenda na kunshawishi upya ili afungue kesi ile ili upatikane upenyo wa kuiondoa nchini.

Na hili linapewa nguvu na ukweli kwamba. Hapo awali tuliambiwa ndege ile ilikuwa pale,sababu ya matatizo ya kiufundi,bayo yanazikumba ndege za model ile.

Baadae ndio tunaletewa story za mzungu wa kesi ya mashamba.

Serikali imekaa kimya, kama vile hakuna mali yetu iko nje ya nchi bila uchungu.

Sio msemaji wa serikali, wala waziri wa mawasiliano,au hata Rais na waziri mkuu mwenyewe.

Tokeni watetezi wa mama mtuambie ukweli.

Ile ndege ikiuzwa kimizengwe...ndio itaondoka na utawala wa CCM.

Hatutapoa.

Tukatae wahuni.

Alamsikhi.
10101.
Nilisoma mahali mdai kaweka wazi hana nia ndege iuzwe ili alipwe fidia. Kwa hiyo, ile ndege haiwezi kuuzwa ili kumlipa mdai.
 
Nilisoma mahali mdai kaweka wazi hana nia ndege iuzwe ili alipwe fidia. Kwa hiyo, ile ndege haiwezi kuuzwa ili kumlipa mdai.
Afadhali ya wewe unaefuatilia na kuujua uhalisia.

Kuna viazi humu havijui chochote na vinajibu upuuzi wa kijinga.
 
Back
Top Bottom