Tunataka ukweli kuhusu ndege yetu Uholanzi

Wewe sio serikali,mimi nimeitaka serikali ije ituambie kinachoendelea.
Ile ndege sio tako la mkeo,ni jasho letu walipa kodi.
Full stop.
 
Ndege ni za Magufuli, kwakuwa mwenyewe kafa acha ziuzwe tu. Tena ziuzwe kwa bei ya hasara maana zilikuwa zinanunuliwa kwa sifa bila wananchi kuridhia.
Wewe ni mpumbavu mno na huna faida ktk nchi hii' sielewi ni kwa sababu zipi upoo tu
 
Wewe ni mpumbavu mno na huna faida ktk nchi hii' sielewi ni kwa sababu zipi upoo tu
Nchi hii imejaa mapumbavu lukuki,na hilo li-@Tindo ni moja wapo ya uchafu alioutoa tumboni mama yake kunusuru uhai.
 
Ndege ni za Magufuli, kwakuwa mwenyewe kafa acha ziuzwe tu. Tena ziuzwe kwa bei ya hasara maana zilikuwa zinanunuliwa kwa sifa bila wananchi kuridhia.
kiwango chako cha upumbav kiko juu sn aisee!!!!
 
Kwa sababu wewe unaishi kwa uchungu,endelea hivyo.

Ila zikiuzwa mjuwe na mama yenu bye bye!
Acha njozi chafu, bye bye kwa vipi? Wakati tayari tumeshapiga kura 2025,na ameshinda kwa 99.9%,pia atakuwa ameiokoa serekali kutokana na hasara,
I crocodiletooth support the program of selling this useless items ( if possible) which cost our government and uses taxpayers money's in safeguarding!, Jokes 😙😙
 
AAsante mkuu!

Angalau kuna Taasisi inayoweza kutishia chama tawala na aliyeshika hatamu!

You guys nawakubali Sana sema sifurahishwi jinsi mlivyo na subira Sana kwa wezi na wabadhirifu wa jamhuri!

Mnaharibu watoto na kuwapa imani Kwamba chama na mshika hatamu ndio top wa nchi kumbe Sio kweli!

Kumbe kuna Taasisi isiyoonekana ina operate Mambo,ni raha Sana kwa wazalendo wote kuhisi jambo kama hili!

Mungu ibariki Tanzania nchi yetu niipendayo Sana!

"Jamhuri inapaswa kuwa kubwa kuliko chama wala kiongozi yeyote yule"
 
Asante kwa taarifa.

Nilikua nashangaa sana ndege ziendelee kuepo bila kuuzwa.

Mambo yanavyoenda watauza au watakabidhi shirika fulani kuendesha na huo utakua mwisho wa hizo ndege.

kule wanyama kupakiwa kwenye midege, huku deni la taifa.
Hii ndio Babylon yenyewe hakika.
 
Wewe sio serikali,mimi nimeitaka serikali ije ituambie kinachoendelea.
Ile ndege sio tako la mkeo,ni jasho letu walipa kodi.
Full stop.
Eti dasho lethu walipa kodray!, zilinunuliwa isivyo halali, maana manunuzi makubwa kiasi kile yalipaswa kujadiliwa bungeni.
 
Kuhujumu hizi ndege itakuwa ni uhaini wanyongwe. Ndege hizo ni Fahari ya Taifa
Ndege hizo kwa kweli zimekua ni msaada.

Tanzania kwa ukubwa wake inahitaji ndege, kutoka mkoa kama Dar kwenda Mwanza, Kigoma, Tabora, Songea wakiuza wanataka wasafiri walokuwa wanatumia ndege watumie usafiri gani?

Mtu anatoka Kigoma hadi Dar sasa kuna ndege zinasaidia.

Yani ni mambo ya hovyo sana.
 
Mijizi ya umma imerejea hewani baada ya kauli na vitendo vya mama kuonesha anawakaribisha.
Hatua za mwanzo una msimamisha udc sabaya na kumpa kesi feki ukijua alitekeleza maelekezo ya jpm kufuatilia wahujumu wa uchumi. And then unawarudisha uwaziri na nafasi zingine waliyokua wametemwa na jpm kwa kumsimanga na kumdharau.
Hizo kama sio ishara kwa wapigaji na wezi wote wa umma ni nini?
 
Kwahiyo hata kama mikataba iliyosainiwa na viongozi ni kandamizi kwa nchi ( ni ya unyonyaji) we unataka kiongozi angeyafumbia macho yote hayo siyo? despite the fact that wanalindwa na sheria?
Mikataba sometimes inavunjwa au wana-review then amendment zinafanyika ili pande zote zinufaike!
Na hii ndo kazi kubwa ya kiongozi mwenye maono ya kutetea raslimali za nchi.

Vijana tusiwe single minded kama hivi, lasivyo kizazi kijacho hakitanufaika na resources za nchi yetu.
 
Mkuu, ilikuwaje Nyerere alipotaifisha?
 
Mtu anaendaje kwa mfano kuingia mkataba kandamizi.
RUSHWA inaanzia hapo.
 
Duh...!.
P
 
Ndege ni za Magufuli, kwakuwa mwenyewe kafa acha ziuzwe tu. Tena ziuzwe kwa bei ya hasara maana zilikuwa zinanunuliwa kwa sifa bila wananchi kuridhia.
Achaa ujinga wako,hizo Ndege ni Mali ya Umma na si za Magufuli, alafu punguza chuki kwa Marehemu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…