Tunataka ukweli kuhusu ndege yetu Uholanzi

Umenielewa?, sikusema zote ziuzwe nimesema hizo kubwa mbili, hizi bombadia zisiuzwe kwani hizi ndizo saizi yetu.
Ziuzwe zote tu maana jiwe alijiamulia kutumia fedha za walipa kodi kwa jeuri tu
 
Nchi hii ina chawa wengi katika Jamii forum, kuweni wazalendo na nchi hii sio Kila kitu kutetea.
Kumbuka unajadiliana na watu wenye upeo mkubwa wenye utambuzi na ustadi mkubwa, huwa tunanyoosha mstari na siyo chawa,hayo mandege makubwa ni mzigo kwa taifa.
 
Ndege ni za Magufuli, kwakuwa mwenyewe kafa acha ziuzwe tu. Tena ziuzwe kwa bei ya hasara maana zilikuwa zinanunuliwa kwa sifa bila wananchi kuridhia.
Kwa uuzwaji huo unafikiri nini

Mzungu hakuwa na mpango lakini amefufuliwa maana yake ana fungu lake hapo
Na kwa maana hiyo ndege ikiuzwa kama wahusika wa hilo dili wako sita au saba mzigo huo unapigwa karata na maisha yanaendelea kama hakijatokea
 
Ndege ni za Magufuli, kwakuwa mwenyewe kafa acha ziuzwe tu. Tena ziuzwe kwa bei ya hasara maana zilikuwa zinanunuliwa kwa sifa bila wananchi kuridhia.
Acha upumbavu na ushabiki wa kisenge, coment kama hii hauwezi ukapost mbele ya watoto wako maana wataona wana mzazi mjinga,kwani hizi ndege magufuli alinunua kwa hela zake mfukoni,hivi nyie chawa wa rais mnatumia makalio kufikiria!?
 
Kwa sababu wewe unaishi kwa uchungu,endelea hivyo.

Ila zikiuzwa mjuwe na mama yenu bye bye!

Anayewapa vyombo vya dola amri nchi hii huyo anaweza kufanya lolote na kusitokee chochote.
 
Acha upumbavu na ushabiki wa kisenge, coment kama hii hauwezi ukapost mbele ya watoto wako maana wataona wana mzazi mjinga,kwani hizi ndege magufuli alinunua kwa hela zake mfukoni,hivi nyie chawa wa rais mnatumia makalio kufikiria!?

Mlipokuwa mkiita ndege za Magufuli mlitarajia ziwe zetu? Makhanithi wakubwa.
 
Hii nayo ni mada mpya ya kusema tetesi ni uongo bila kuonyesha ukweli ulipo
 
Achaa ujinga wako,hizo Ndege ni Mali ya Umma na si za Magufuli, alafu punguza chuki kwa Marehemu!!

Mlipoita ni ndege za Magufuli mlitarajia nini? Iuzwe haraka sana kuliko kuendelea kututia hasara.
 
Huu ni ushaurii kwa Serikali k.m mmiliki wa wandege , ila ungekaa kwa wao kubadili ziwe za mzigo ungependeza, japo ingependeza. zaidi k.m ungelinganisha mapato ya abiria na mizigo
 
Hizi ndege zingeuzwa tu, zimekuwa liability badala ya assets.
 
Wakati ukijaza Tope kichwani,wenye Ubongo pia wapo kazini.
Zile ndege sio sawa na tako la mkeo,bali ni jasho letu walipa kodi.
 
Hii nayo ni mada mpya ya kusema tetesi ni uongo bila kuonyesha ukweli ulipo
Tunataka serikali ije ituondolee tetesi na sio kuendelea kukaa kimya,sawa na ule ukimya wa ile ndrge kubwa pale KIA ambayo hatimae imesepa na wanyama wetu 250 wa thamani kubwa.
 
Wakati ukijaza Tope kichwani,wenye Ubongo pia wapo kazini.
Zile ndege sio sawa na tako la mkeo,bali ni jasho letu walipa kodi.
Isije ikiwa wewe ndiyo mkwepa kodi mkubwa au hulipagi kabisaaa.
 
Nilisoma mahali mdai kaweka wazi hana nia ndege iuzwe ili alipwe fidia. Kwa hiyo, ile ndege haiwezi kuuzwa ili kumlipa mdai.
 
Nilisoma mahali mdai kaweka wazi hana nia ndege iuzwe ili alipwe fidia. Kwa hiyo, ile ndege haiwezi kuuzwa ili kumlipa mdai.
Afadhali ya wewe unaefuatilia na kuujua uhalisia.

Kuna viazi humu havijui chochote na vinajibu upuuzi wa kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…