Tunataka ukweli kuhusu ndege yetu Uholanzi

Yaani Nchi ikope, ndege inunuliwe,

MKOPO Bado haujalipwa,

Waibuke watu kutaka kuiuza Nia si kulipa deni Bali ni kuwanufaisha viongozi na familia zao.

Magu alikopa Kwa Nia njema na akalipa cash, wao waziuze waweke pesa mifukoni mwao.

Jambo hili mbona ni la KITAIFA? Tutakaolipa ni sisi sote bila kujali vyama vyetu.

Wanaokejeli kuhusu jambo hili ni maadui wa Taifa, WASHUGHULIKIWE.
 
Nilisoma mahali mdai kaweka wazi hana nia ndege iuzwe ili alipwe fidia. Kwa hiyo, ile ndege haiwezi kuuzwa ili kumlipa mdai.
Kwann KABUDI amefichwa kama msukule, jambo hili angeweza saidia kesi ikaondoka maana hamna case pale.
 
Isssue hii ni ya KITAIFA,

Wote wanaojibu HOJA Kwa ushabiki wa Vyama na makundi kisiasa hawana UZALENDO Kwa Nchi.

Tuungane pamoja kama Watanzania ktk issue zenye maslah ya nchi.

MKOPO alikopa Magu kununua ndege HAUJALIPWA na wanaoutaka kuuza ndege hizo Nia si kulipa DENI, ni kutunisha AC zao.


Tuwaweke kundi moja na WAHUJUMU Uchumi, na ikibidi watendwe kama CHINA wanavyowashughulikia.
 
Ndugu VOICER,

Umeandika juu ya wanyama 250 kupakiliwa HAI kwenye ndege, na kutoroshwa kinyemela,

Mamlaka ya kuzuia mnayo,

Why mlalamike kama wananchi na msichukue hatua?

Hadi lini mambo haya kuendelea?

Kwani Kuna tatizo Gani kumaliza a na kundi dogo kama tu Nchi itapata faida na kuepukana na HASARA Kwa vizazi vijavyo?
 
Usipanick, huu mchezo hautaki hasira.
Kwako ni mchezo sio!
Bahati ya mama yako alikuzaa bila hivyo angegeuka mwehu!

Alipokutoa wewe ndio ikawa pona yake
 
Nchi imevaa ushungi,kazi ipo!
 
Kifo cha yule balozi seems kina mengi muhimu
 
Nani akupe huo ukweli YAANI kizazi hiki badala ya kuutafuta mwenyewe ili uje uwasute nao unataka wao wakupe ukweli-BURE KABISA
 
Wewe sio serikali,mimi nimeitaka serikali ije ituambie kinachoendelea.
Ile ndege sio tako la mkeo,ni jasho letu walipa kodi.
Full stop.
Hasira na mitusi siyo jadi yetu. Wewe umeandika, hakukutukana. Naye kaandika maoni yake. Kama kasema vibaya, sema neno baya alilosema, lakini kama kasema vema kwanini kumtukana yeye na mkewe. Hujisikii vibaya kumtukana nduguyo. Sisi sote wa-Tanzania, kuporomosheana mitusi haifai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…