Shanily
JF-Expert Member
- Nov 4, 2024
- 856
- 1,662
Tarehe kama ya Leo , Miaka 3 nyuma nilifanikiwa kumpata mwanangu wa kwanza (baby boy) lakini kwa kadari zake mungu hakuweza kuishi zaidi ya siku 1 pekee.
Hakuna siku ambayo siyaacha kutamani uwepo wake lakini haiwezekani kuwa nae.
Huwa nashangazwa na wanaotupa watoto ilihali Kuna wengine wanawatafuta kwa udi na uvumba.
Watoto ni neema na Baraka , ukijaaliwa kuipata itunze na uithamini.