Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Hukatazwi kulia.Na sio wote wanalia..
Kingine till now hakuna mtu aisiyejua kuwa kifo kipo...
Tunarudi pale pale ukijua mechanism za hormonal response mwilini sizani kama utakua unabisha bisha kuhusu watu kulia na kujiandaa na hayo unayosema..
Mimi Point yangu kuu ipo hapa, Hata ukilia bado uhalisia wa kifo upo palepale.
Ulie, ucheke, usikitike, unyamaze hakubadilishi uhalisia wa kifo.
Kifo kipo palepale.
Kwa hivyo kusikitika miaka nenda rudi hakusaidii kitu.
Roho haipo.Ina elekea wee mwamba una roho mbaya sana aiseee..
Roho ni dhana ya kufikirika tu.
Sijakataa kuhusu kulia.an wee licha ya kumkataa Mungu ila sasa naona unataka kukataa mpaka kuhusu kulia yaani umekaa kiukatili ukatili tuu
Nilikwambia na Ninakwambia hivi..👇
Kulia hakubadilishi chochote na wala hakusaidii chochote baada ya kifo kutokea.