Tunatamani uwepo wao lakini haiwezekani kuwa nao

Madamu wangu Shanily naomba usitumie muda wako kubishana na Infropreneur ...

Takupa badae full profile lake sawa madamu wangu ..
Maana hapo uzi wetu utageuka kuthibitisha Mungu anapanga vifo au laaa na sio mda atakuja na mwenzake wanamuita kiranga hapo ndo kashehse itaanza
 
Hapana mkuu situmiagi hyo ila zaidi zaidi natumia mdarasini, karanga, korosho pamoja na cologet...

Naimani mkuu utakua poa pole kwa upweke na sonona unayopitia
Sonona ndo nini!?. Sina upweke nimetamani tu uwepo wa mwanangu.
 
Madamu wangu Shanily naomba usitumie muda wako kubishana na Infropreneur ...

Takupa badae full profile lake sawa madamu wangu ..
Maana hapo uzi wetu utageuka kuthibitisha Mungu anapanga vifo au laaa na sio mda atakuja na mwenzake wanamuita kiranga hapo ndo kashehse itaanza
Wee!! Usinambie kumbe mjadala utahama!?.
 
Madamu wangu Shanily naomba usitumie muda wako kubishana na Infropreneur ...

Takupa badae full profile lake sawa madamu wangu ..
Maana hapo uzi wetu utageuka kuthibitisha Mungu anapanga vifo au laaa na sio mda atakuja na mwenzake wanamuita kiranga hapo ndo kashehse itaanza
Hakuna sehemu tumeanza kubishana kuhusu Mungu kwenye huu uzi.

Tuna eleweshana tu, mambo ya kifo yalivyo.
 
Sonona ndo nini!?. Sina upweke nimetamani tu uwepo wa mwanangu.
Sonana na kutamani uwepo vyote ni sawa madamu..
Alafu madamu mbona kama una oppose hv wakati nipo kukupa faraja hapa
 
Hakuna sehemu tumeanza kubishana kuhusu Mungu kwenye huu uzi.

Tuna eleweshana tu, mambo ya kifo yalivyo.
Mmmmh unavyojibu sasa kama mwema hv...
Yaani kama utaki kubishana kumbe unamleta mdada wa watu mtegoni ajichanganye uwanze kusema THIBITISHA
 
Sasa ndio unakuja kuwakumbukia huku JF ukitafuta pole?

Nenda makaburini kawa kumbukie huko.
Naona hujaona ujumbe mwingine ulotolewa katika hiyo post. Ila ni mzigo mzito kiwiliwili kubeba kichwa kilicho tupu.
 
Sema madamu fuata ushauri wangu..
Utajikuta una poteza ATP ZAKO hapa
 
Mmmmh unavyojibu sasa kama mwema hv...
Yaani kama utaki kubishana kumbe unamleta mdada wa watu mtegoni ajichanganye uwanze kusema THIBITISHA
Yaani nianze kubishana na kichwa kitupu si vichekesho.
 
Mmmmh unavyojibu sasa kama mwema hv...
Yaani kama utaki kubishana kumbe unamleta mdada wa watu mtegoni ajichanganye uwanze kusema THIBITISHA
Hapana.

Mimi namwambia aache kusikitika miaka nenda rudi kuhusu suala la kifo.

Kifo kipo tu kwa kila kiumbe na hata ulie, ucheke, usikitike, unyamaze kifo kipo tu.
 
Sema madamu fuata ushauri wangu..
Utajikuta una poteza ATP ZAKO hapa
ATP ndo nini!? Mm nishamalizana nae mwaya , relax , Sina muda wa kubishana Kila mtu na maoni yake kama ya kwake ndo hayo tunamwacha nayo
 
Hapana.

Mimi namwambia aache kusikitika miaka nenda rudi kuhusu suala la kifo.

Kifo kipo tu kwa kila kiumbe na hata ulie, ucheke, usikitike, unyamaze kifo kipo tu.
Tunalia kwa sababu kulia kuna toa ile hali ya machungu yanayotokana na kuwaza kile kitu hasa kwa mtu wa karibu.

Unaposema tulie ama tusilie vyote sawa i don't know wewe ni mtu wa aina gani..

Wewe ujawahi kulia baada ya kufiwa au ..?
 
Unalia nini sasa?

Kwani baada ya kulia huyo marehemu alifufuka?

Au ukilia huyo marehemu atafufuka?

Elewa kwamba kifo kipo kwa kila kiumbe.

Ulie, ucheke, usikitike, unyamaze hakubadilishi uhalisia wa kifo.
 
ATP ndo nini!? Mm nishamalizana nae mwaya , relax , Sina muda wa kubishana Kila mtu na maoni yake kama ya kwake ndo hayo tunamwacha nayo
Swali zuri madamu
ATP ni kifupisho cha neno adenosine triphosphate.
Maana yake nini hii ni energy katika mwili wako.
Unapokula na kushiba tunasema sasa una ATP za kutosha kwa lugha nyepesi..

Sasa unapoanza kubishana kwa mambo ambayo hayana mabega ni kupunguza nguvu mwilini yaani ATP...
 
Back
Top Bottom