Kila kitu kina sababu chini ya JuaTarehe kama ya Leo , Miaka 3 nyuma nilifanikiwa kumpata mwanangu wa kwanza (baby boy) lakini kwa kadari zake mungu hakuweza kuishi zaidi ya siku 1 pekee.
Hakuna siku ambayo siyaacha kutamani uwepo wake lakini haiwezekani kuwa nae.
Huwa nashangazwa na wanaotupa watoto ilihali Kuna wengine wanawatafuta kwa udi na uvumba.
Watoto ni neema na Baraka , ukijaaliwa kuipata itunze na uithamini.
Huyo mwenyezi Mungu aliyemfanyia "kadari" mbona alishindwa kumfanyia huo wepesi?Pole sana
Mwenyezimungu atakufanyia wepesi Inshaallah
Kuwakumbuka wapendwa wetu haimaanishi hatuja move on. Hatuwezi kuwasahau hata iweje.Kwenye hii dunia kwanza tambua kifo kipo kwa kiumbe yeyote na kwa muda wowote.
Pia hakuna Mungu anaye panga vifo vya watu au viumbe.
Kukaa kaa kusikitika na kulia lia hakusaidii kitu, Move on.
Kifo kipo tu, kikija acha kije. Maana hata ulie, ucheke, usikitike, unyamaze. Kifo bado kipo palepale.
Enjoy your life to the fullest. Huwezi kufanya kifo kisiwepo.
Hapana mkuu situmiagi hyo ila zaidi zaidi natumia mdarasini, karanga, korosho pamoja na cologet...Umekula Cha Arusha!?. Ila asante maisha lazima yaendelee
Sijakwambia ucheke ukipata msiba.Ooh!! Kwahy wamaanisha tucheke tukipata misiba!?.