Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Sasa ndio unakuja kuwakumbukia huku JF ukitafuta pole?Kuwakumbuka wapendwa wetu haimaanishi hatuja move on. Hatuwezi kuwasahau hata iweje.
Wee!! Usinambie kumbe mjadala utahama!?.Madamu wangu Shanily naomba usitumie muda wako kubishana na Infropreneur ...
Takupa badae full profile lake sawa madamu wangu ..
Maana hapo uzi wetu utageuka kuthibitisha Mungu anapanga vifo au laaa na sio mda atakuja na mwenzake wanamuita kiranga hapo ndo kashehse itaanza
Hakuna sehemu tumeanza kubishana kuhusu Mungu kwenye huu uzi.Madamu wangu Shanily naomba usitumie muda wako kubishana na Infropreneur ...
Takupa badae full profile lake sawa madamu wangu ..
Maana hapo uzi wetu utageuka kuthibitisha Mungu anapanga vifo au laaa na sio mda atakuja na mwenzake wanamuita kiranga hapo ndo kashehse itaanza
Sonana na kutamani uwepo vyote ni sawa madamu..Sonona ndo nini!?. Sina upweke nimetamani tu uwepo wa mwanangu.
Wee subiri sio mdaWee!! Usinambie kumbe mjadala utahama!?.
Mmmmh unavyojibu sasa kama mwema hv...Hakuna sehemu tumeanza kubishana kuhusu Mungu kwenye huu uzi.
Tuna eleweshana tu, mambo ya kifo yalivyo.
Sema madamu fuata ushauri wangu..Naona hujaona ujumbe mwingine ulotolewa katika hiyo post. Ila ni mzigo mzito kiwiliwili kubeba kichwa kilicho tupu.
Hapana.Mmmmh unavyojibu sasa kama mwema hv...
Yaani kama utaki kubishana kumbe unamleta mdada wa watu mtegoni ajichanganye uwanze kusema THIBITISHA
Mkuu mada hii mpaka sasa inaenda kubadilika amini..Yaani nianze kubishana na kichwa kitupu si vichekesho.
Tatizo lako badala ya kwenda huko makaburini kuwakumbuka hao wanao, Unakuja hapa JF kutafuta pole zisizo na msaada wowote.Yaani nianze kubishana na kichwa kitupu si vichekesho.
Tunalia kwa sababu kulia kuna toa ile hali ya machungu yanayotokana na kuwaza kile kitu hasa kwa mtu wa karibu.Hapana.
Mimi namwambia aache kusikitika miaka nenda rudi kuhusu suala la kifo.
Kifo kipo tu kwa kila kiumbe na hata ulie, ucheke, usikitike, unyamaze kifo kipo tu.
Mkuu hvi wewe huna watoto kwenuTatizo lako badala ya kwenda huko makaburini kuwakumbuka hao wanao, Unakuja hapa JF kutafuta pole zisizo na msaada wowote.
Unalia nini sasa?Tunalia kwa sababu kulia kuna toa ile hali ya machungu yanayotokana na kuwaza kile kitu hasa kwa mtu wa karibu.
Unaposema tulie ama tusilie vyote sawa i don't know wewe ni mtu wa aina gani..
Wewe ujawahi kulia baada ya kufiwa au ..?
Swali zuri madamuATP ndo nini!? Mm nishamalizana nae mwaya , relax , Sina muda wa kubishana Kila mtu na maoni yake kama ya kwake ndo hayo tunamwacha nayo