Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kwani ukiwa na watoto ndio kwamba hawawezi kufa?Mkuu hvi wewe huna watoto kwenu
Nakubali kifo kipo.Unalia nini sasa?
Kwani baada ya kulia huyo marehemu alifufuka?
Au ukilia huyo marehemu atafufuka?
Elewa kwamba kifo kipo kwa kila kiumbe.
Ulie, ucheke, usikitike, unyamaze hakubadilishi uhalisia wa kifo.
Oohh!! Sasa naona wewe ndo umeingia mtegoni. Una elezea nini achana nae , apambane na fikra zake azijuazo.Swali zuri madamu
ATP ni kifupisho cha neno adenosine triphosphate.
Maana yake nini hii ni energy katika mwili wako.
Unapokula na kushiba tunasema sasa una ATP za kutosha kwa lugha nyepesi..
Sasa unapoanza kubishana kwa mambo ambayo hayana mabega ni kupunguza nguvu mwilini yaani ATP...
Wanao wakifa wewe utafanya nini...?Kwani ukiwa na watoto ndio kwamba hawawezi kufa?
Watoto na wao ni viumbe wanaweza kufa muda wowote.
Kwa hiyo, Kifo kikija kimekuja hata ulie, ucheke, usikitike au unyamaze hakubadilishi uhalisia wa kifo.
Sawa madamu shukrani kwa ushauri wako ila samahani madamu mimi naomba nimmnyooshe kazidi sana huyu jamaaOohh!! Sasa naona wewe ndo umeingia mtegoni. Una elezea nini achana nae , apambane na fikra zake azijuazo.
Ukishaweka habari za familia yako hapa JF ina maana umeweka kwenye Public Forum.Kama huna Cha maana nyamanza.
Wewe jukwaa kinalokufaa ni kule kwenye ku prove dunia tambalale au duala mkuuUkishaweka habari za familia yako hapa JF ina maana umeweka kwenye Public Forum.
Na kila mtu ana uhuru wa kuchangia maoni yeyote.
Kama ulikuwa hutaki kukosolewa usingeleta hizi habari kwenye public forum.
Lakini bado uhalisia wa kifo upo palepale.Nakubali kifo kipo.
Nikusaidie tuu kulia ni natural human response kwa emotions mbali mbali sasa ili kuweza ku balance hisia kama hizo ndo tunalia
Tumuache sasaHakuna tabu , uwanja wako mwamba, jimwae.
Ndio mkuu nazani sasa tumeanza kuelewana....Lakini bado uhalisia wa kifo upo palepale.
Watazikwa na maisha mengine yataendelea kama kawaida.Wanao wakifa wewe utafanya nini...?
Hutohudhunika..Watazikwa na maisha mengine yataendelea kama kawaida.
Kwanza tambua kwenye hii dunia anything scary and shocking can happen to you anytime.Hutohudhunika..
Je mpenzi wako akikuacha kwa gafula
Et andaa ubongo wako...!!Kwanza tambua kwenye hii dunia anything scary and shocking can happen to you anytime.
Kwa hivyo andaa ubongo 🧠 wako, kupokea taarifa yeyote negative muda wowote na ujue namna yaku control emotions na feelings zako kwa utulivu.
Ukishafanikiwa hili, Hutashtushwa na taarifa yeyote ile ikupe madhara.
Sasa kama ulishajiwekea akilini mwako tukio fulani haliwezi kukutokea, Siku likikutokea utalia tu.Et andaa ubongo wako...!!
Hivi unaelewa hata concept ya reflux arc mkuu.
Unaelewa mechanism mpaka mtu unalia wewe..?
Mda wa kuwaza kutafuta maokoto et nianze kuandaa ubongo how came...?
Hatukatai kuhusu ku control emotions ila kuna mda unafika hata hizo emotions ku control inakua ngumu ndo hapo tunakutana na kitu kinaitwa law of conservation of emotion...
Na sio wote wanalia..Sasa kama ulishajiwekea akilini mwako tukio fulani haliwezi kukutokea, Siku likikutokea utalia tu.
Kwa sababu kwenye ubongo wako ulisha jiwekea hivyo.
Lakini uki elewa kwamba kitu chochote cha ghafla au tukio lolote la ghafla, Linaweza kukutokea kwa wakati wowote, Hutalia.
Bali utajua na uta tafuta namna yaku kabiliana na kitu hicho au tukio hilo wakati limetokea au linatokea.
Yeah mimi nimemaliza. Unajua labda mtu ataona tu Hilo la mwanangu lakini Kuna jumbe mbili ndani yake.Tumuache sasa