Tunatangaza tarehe 8/8 kutakuwa na maandamano makubwa sana ambayo hayajapata kutokea

Tunatangaza tarehe 8/8 kutakuwa na maandamano makubwa sana ambayo hayajapata kutokea

Toka Oktoba 29 yamepangwa maandamano kadhaa .kuanzia mwaka jana hadi mwaka huu na hakuna hata moja lililofanikiwa. Hamjiulizi kwanini mwitikitio si kama wa mwanzo.

Hamuoni kama hao wafuasi wenu wameishiwa imani nanyi ndiyo maana hakuna anayewatii.

Yaani badala ya kuhangaika kurejesha imani yao kwenu, ndiyo mnazidi kuwasukuma mbali.
Wewe tulia hujui chochote

Mipango yetu ni ya kutisha sana
 
Siyo kwamba hii mikwara yenu polisi wanaingiza hela nyingi (Per diem)?

Maana siyo Kwa heka heka hizo.
 
Wakipuuza sisi tunafanya kweli
Ile ya Oct 29 will NEVER happen again.
Raia hawataki tena kufa wala kupoteza wapendwa wao kizembe.

Siku zinavyozidi kwenda hizi habari za maandamano zinaishia mitandaoni na zinazidi kupoteza mvuto, na hatimaye zitasahaulika kabisa.

Suluhisho ni kutafuta njia za MARIDHIANO.
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Leo tumewaachia police

Tukutane barabaran tarehe 8/8

LONDON BOY
waandaaji wa MABANGO tuingie kazini! tuyasambaze hadi yamfikie na yeye pamoja na kaitambi chake
 
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mnachomea humu Jf,nendeni Field mkakutane na wanaume
 
Toka Oktoba 29 yamepangwa maandamano kadhaa .kuanzia mwaka jana hadi mwaka huu na hakuna hata moja lililofanikiwa. Hamjiulizi kwanini mwitikitio si kama wa mwanzo.

Hamuoni kama hao wafuasi wenu wameishiwa imani nanyi ndiyo maana hakuna anayewatii.

Yaani badala ya kuhangaika kurejesha imani yao kwenu, ndiyo mnazidi kuwasukuma mbali.
Kama hawatii maandamano mbona mapolisi kibwena barabarani wanalinda nini?
 
Back
Top Bottom