Tunatangaza tarehe 8/8 kutakuwa na maandamano makubwa sana ambayo hayajapata kutokea

Kiongozi mkuu wa maandamano

Ccm tutawanyosha tu

Vijana ambao hawana maarifa kama wewe ndio wamefikisha nchi ya Libya pale ilipo!
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Leo tumewaachia police

Tukutane barabaran tarehe 8/8

LONDON BOY

Wapuuzi kama hawa ndio walidanganywa na magharibi waka muua Gadafi wa Libya leo hii Libya wanalia na kusaga meno....
 
8/8 tunatoka,
Vyombo vya usafiri, shughuli zote, sitisha kwa usalama wa mali zako,
 
Vijana ambao hawana maarifa kama wewe ndio wamefikisha nchi ya Libya pale ilipo!

Wapuuzi kama hawa ndio walidanganywa na magharibi waka muua Gadafi wa Libya leo hii Libya wanalia na kusaga meno....
Unaongea ujinga gan wewe

Kwanini unatumia jina la shinyanga wakati wewe mjinga
 
Back
Top Bottom