Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Nchi imeingia kwenye siasa mbaya naweza kuziita za ki "mbumbumbu" sana tangu kupata uhuru yani siasa za maigizo na vituko badala ya siasa za hoja na maono na mipango mbalimbali ya kimaendeleo kutoka kwa wagombea badala yake tunaona mara sijui waziri anagala gala chini mbele ya mgombea mara sijui vijana wamejipaka matope mbele ya mgombea hivi sisi kama taifa kwa hizi siasa za maigizo na vituko tunaelekea wapi? zitatusaidia nini kwenye nchi ?
Hivi ninacho maanisha mnakijua katika uhalisia uchaguzi umekaribia mimi sioni hoja yoyote ya msingi wala mipango ya kimaendeleo kwa wagombea naona mapicha picha tu, nchi inapelekwa kwenye siasa mbaya sana.
Badala ya kuangalia vitu vya maana vya kufanya vya kuboresha kwenye nchi sisi tunaanza sijui mambo ya kiki hizi ni siasa za wapi ?
tutajengaje nchi sisi kama taifa kwa siasa za kiki na maigizo hivi watanzania tunaelekea wapi nilisema sisi hatutaki raisi ili mradi tuonekane na sisi tuna raisi bali tunataka raisi mwenye sera bora na maono tunataka demokrasia, mabadiliko na maendeleo, tunataka watanzania waondokane na umaskini.